jamani kwanini inatutokea sisi tuuu???

Maisha ni kujipanga..wapo ambao hawajaoa wanaonakana kama huyo jogoo aliyeoa, na wengi waliooa kuonekana kama huyo jogoo single.
Mi sijaona mantiki yoyote hapo.

Ni kweli kwa kua hujaelewa hata.. maana na pia picha hauoni unajaribu kutafuta yako ambayyo ni mantiki.. Hapo hatujaweka picha ya mantiki ila tumeamua kuzungumza kwa kutumia LUGHA YA PICHA
 
Ni kweli kwa kua hujaelewa hata.. maana na pia picha hauoni unajaribu kutafuta yako ambayyo ni mantiki.. Hapo hatujaweka picha ya mantiki ila tumeamua kuzungumza kwa kutumia LUGHA YA PICHA

Mi nahisi umeweka lugha ya picha kujieleza maisha yako kabla na baada ya kuoa...Ila si kwa wanaume wote.
Badili title iwe kwa nini kwangu tu lo!
 
Back
Top Bottom