Jamani kwanini 2pate tabu ya Kuingia net usiku badala ya kulala

Mkuu tupe maujanaja basii..kama vip naomba ni PM maana hawa watu wa airtel na zantel wana watu wao humu Jf
 
Bure ni aghari jamani, mtapigwa machanga hivi hivi kwa kupenda Kitonga jamani.
 
ukitaka kuprove kwamba ninachokisema ni chakweli ingia Tech,Gadgets and Science Forums then Tafuta Comment
za Khalfan56 zipo kwa chini kabisa then follow the steps below in his comment page
 
Back
Top Bottom