Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,246
- 411
- Thread starter
- #21
habari ni njema mdau, kwa tarehe ulizoanisha hapo juu, mzunguko wa mkeo utakuwa kama ifuatavyo
tarehe 14-18 bleeding
tarehe19-23 safe day/siku salama hawezi kupata mimba hapa
tarehe24-26 kuna uwezekano wa kupata mimba na mara nyingi ukifanya mapenzi una uwezekano mkubwa kupata mtoto wa kike
tarehe 27 ndo siku yenyewe kabisa ukifanya mapenzi hapa ni lazima apate mimba(ovulation day) uwezekano mkubwa ni mtoto wa kiume haswa ukiingiza ndani sana wakati wa kutoa mbegu(ku-ejaculate)
tarehe 28-30 pia kuna uwezekano maana yai la mama likishazalishwa hubakia hai kwa masaa 72, uwezekano mkubwa hapa pia ni wa kupata mtoto wa kiume
tarehe 1-14 safe days/siku salama
mdau ntakuwa nimekujibu.
nashukuru sana kwa majib yako na ni mazur kwa kwel hayajatofautia na ya wachangiaji na pia nili google
baby center pia majb ni haya haya!!
nashukuru pia!!