Jamani kwa nini tunapenda kujilinganisha na marekani kwa kila kitu?

Mozila

Senior Member
Mar 23, 2012
174
47
Watanzania kwa kila jambo hulinganisha na usa,siasa,uchumi,presidential level,maendeleo. Hivi kweli usa ndo iwe kioo chetu.nchi ambayo kampeni zake sio maji,umeme,barabara,zahanati ndo tuiige?
 
kila siku tuna dai tuna dai..... Hivi na mimi nikijilinganisha na rais wa marekani, kwamba nilipwe kama rais wa marekani nchi tunaipeleka wapa hiiiiii, ni nani anapenda kutozwa kodi zaidi- ndo wosia wa
BABA WA TAIFA kwa leo
 
basi tuanze kujilinganisha na Cambodia, sipendi kuumiza kichwa mie
 
Itafika mda tutaanza kujilinganisha na somalia ni hapo 2015 sio mbali
 
basi tuanze kujilinganisha na Cambodia, sipendi kuumiza kichwa mie

Mkuu Baba V, i think what mkuu Mozila mean is that, katika kuelekea barabara ya maendeleo..hatupaswi kuweka ma lengo makubwa sana( kama kujilinganisha na Marekani) au malengo madogo sana(kujilinganisha na Somalia)...ila kuweka malengo ambayo kweli kama wananchi na viongozi tutayafikia...si kwa kuwa mepesi sana na kutufanya TUSIJISHUGHULISHE au magumu sana KUTUKATISHA TAMAA, ila kwa wastani KULINGANA NA UWEZO WETU mkuu.
 
ndio.maana vijana wanapotea kwani most wanaiga life style ya wamarekani kuanzia kuvaa,kula,kunywa etc
 
Me naona ni sawa kujilinganisha na marekani ila tufanye kwa kuangalia walifanyaje hadi wakafika hapo walipo sio kuangalia walipo na sisi twende nao ni sawa na kutaka kuruka kama chura wakati ww ni kinyonga ndio maana tunajaribu tunajikuta bado hatujamaliza ule umbali wa chura kuruka tunaanguka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom