Jamani kuzima umeme ndio nini : Kama kawaida ya ccm tusisikilize bunge -- walaniwe

Blessing

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
271
11
:embarrassed: DAAH NDIO NCHI YA WAFISADI WANAHAMWA TU KUTUZIMIA UMEME ILI TUSISIKILIZE BUNGE WALANIWE
 
Wapi huko? acha kulalamika ovyo, mbona huku kwetu umeme upo, au huko kwenu ndo sehemu pekee ambayo serikali hawapendi muangalie bunge? haufikiri hata kama kunaweza kukawa na hitilafu za mitambo?
The unseen is illustrated by the seen.
 
upo kipande ipi ya nchi hii?maana huku niliko,na watu wengine maeneo kama manne nimewaulizia,hakuna kulikokatika umeme.isije ikawa luku yako imekuishia bila wewe kujua?pole kwa kukosa umeme kwa muda huu!
 
kweli kabisa,tangu jana kuanzia saa 1.30 kwetu lazima umeme ukatike.unarudi saa nne au tano.hatuna gridi tunatumia Zambia au mafuta.Du nchi ngumu sana hii,Na mbaya zaidi Mbunge wa magamba alishabigwa chini na mahakama.kwa sasa hatuna mbunge.Nasikia ameapili.Serikali itatunyanyasa! viti maalumu toeni tamko na makamu mwenyekiti wa chama watatunyima elimu ya bunge.umekatika tangu saa 1.30,saa hizi 4.01 no umeme umekatika baada ya msigwa kumwaga ukweli!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom