Jamani kuoa ni kazi sana acheni tu

yaani usiseme.......
wanajua kudai utafikiri mnaoa wote....
aiiiiiiiiiiiiiiiiii mwengine anakuletea mchango wa mtoto wa shangazi yake yuko tabora anaoa eboooh!!!
Yaani ni full kero, tunatafutana tu ubaya...
 
Nachukia sana hii michango ya harusi!! Pengine mi ni mmoja wa hao ambao wanakusumbua na kutokupokea simu!! We mtu unataka harusi ya milioni 15, unakwenda kuish chumba kimoja inahusu!! we mwenyewe huna zaidi ya kitanda na godoro mweeh!! kuchanga kwenyewe unatusumbua kila mara simu mara msg kwani tulikukopa sisi!!? kwani lazima ufanye huo mjisherehe??
wala kuoa sio shida, ila wewe ndo unaifanya iwe shida, fanya harusi simple kutokana na uwezo wako kanisani au msikitini wala hawahitaji hiyo mifeza kukuozesha!! cha muhimu ulipaswa ujichange kabla, then unafanya kisherehe simple na watu wako wakaribu wachache ambao hao ndo watakaokusidia/waliokusaidia kujazia palipobaki sio kututafuta sie tulioonana jana tu!! tusikwazane kwa vitu vinavyoepukika!!

umenena mkuu.Kweli wewe ni great thinker,naipenda JF kupitia watu kama wewe.
 
Nimefarijika sana kwa maoni yenu wana jf kwani ninavyochukia harusi za gharama nilifikiri niko peke yangu! Maana watu ninaojaribu ku reason nao kuhusu ufujaji wa pesa kwa ajili ya arusi za kifahari wanaonekana kunishangaa na huni challenge kwa nguvu!
 
Kwani lazima sherehe?
Kwani wewe uliwachangia wenzako?
Kwani usipokuwa na hela hautaoa?
Kwani lazima uchangiwe?
Kwani umealzimishwa kufanya sherehe?
Kwani walikuahidi watakuchangia?
Kwani wewe unashiriki shughuli za wenzako?
Kwani ............................. ??
 
watu8 unaakili sana. hebu rudisha ile avatar yako ya mwanzoni kabla ya hii?

dah ile niliona inatumiwa na watu wengine kama wawili humu jukwaani...kimsingi mimi niliiweka kwa kuwa ilikuwa inashahabiana na jina langu, lakini naona hata hii ya sasa ipo poa tu
 
  • Thanks
Reactions: b2k
Komaa nao hivyo hivyo unless hukuwa mtoaji kwenye arusi za wenzio
 
Mbwembwe za harusi ndio kazi, kuoa hakuna kazi yoyote ile zaidi ya kusimama/kaa mbele ya sheikh,mchungaji/padre au hakimu na kufuata maelezo.
 
ah kusema kweli michango ya harusi sasa imezidi jamani....mie kusema kweli ningekuwa nachanga kama watu wanadumu kwenye ndoa...aha watu miaka mitatu tuu walishaachana ndio nini.


Mimi sichangii, na hata kama wangekuwa wanadumu nisingechanga, wakiniliteaga kuchangia elimu na mengineyo najitoa tena kutoka moyoni, tena kwa furaha.................tubadilike, michango ya harusi ni kutesana, na watu wengi huchangia coz either walichangiwa, au wanaogpa ikifikia zamu yao watafanya aje!!!
This is weird
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom