Jamani kuna nini vyou vya ualimu hasa diploma?

kvelia

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
246
44
Hapa nazungumzia vyuo vya ualimu ktk ngazi ya Diploma.
Naaminimtu yeyote aliyemaliza form six kumtreat kama mtoto wa form
one ni sawa na kumdhalilisha. Kuna baadhi ya vyuo sijui kama ni
vyote hapa nchini vinafanya mambo ya ajabu eti ni kumfundisha
mwalimu maadili. Mwalimu mtarajiwa anaamka asubuhi na mapema
ananyeshea bustani yake kisha anaenda kufanya usafi ktk eneo lake,
baadae kengele inagongwa kisha wanakaguliwa usafi hadi kucha!!!!!!,
kama ndio hivyi basi na waalimu wa vyuo vikuu wafanyiwe hivihivi ili
kuwapa maadili zaidi. Hili mnalionaje wadau...
:focus:

Honesty is the first chapter in the book of wisdom
 
Motivation ya kusoma zaidi ili kwenda ngazi za juu itatoka wapi iwapo katika ngazi zote wanafunzi/wanachuo wanatendewa sawa?
 
Yaani kwenda ngazi za juu ndio kwa njia ya kutreat wanachuo kama form one?
Kwa taarifa yako, kuna shule nyingine za high school hazina huo utaratibu wa kitoto.

Honesty is the first chapter in the book of wisdom
 
hapa nazungumzia vyuo vya ualimu ktk ngazi ya diploma.
naaminimtu yeyote aliyemaliza form six kumtreat kama mtoto wa form
one ni sawa na kumdhalilisha. Kuna baadhi ya vyuo sijui kama ni
vyote hapa nchini vinafanya mambo ya ajabu eti ni kumfundisha
mwalimu maadili. Mwalimu mtarajiwa anaamka asubuhi na mapema
ananyeshea bustani yake kisha anaenda kufanya usafi ktk eneo lake,
baadae kengele inagongwa kisha wanakaguliwa usafi hadi kucha!!!!!!,
kama ndio hivyi basi na waalimu wa vyuo vikuu wafanyiwe hivihivi ili
kuwapa maadili zaidi. Hili mnalionaje wadau...
:focus:

honesty is the first chapter in the book of wisdom

mie naona sawa kabisa wanafundishwa njinsi ya kufundisha wasikwepe wajibu wao ,hata askari hufundishwa namna ya kufanya kazi kwa vitendo
 
Back
Top Bottom