Jamani kuna nini tigo nimeomba line ya tigo pesa zaidi ya mwezi sijapata

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Mimi ni mama ambaye niliamua kuingia kwenye uwakala wa mpesa na tigo pesa.
Nilianza kulipia mpesa jamani ni siku chache tu nimepata line yao, hongera mpesa.
Kuja kwenye tigo pesa nimelipia zaidi ya mwezi sasa ninaambiwa uje siku fulani nikimtuma mdogo wangu anaabiwa bado uje siku fulani amekwenda zaidi ya mara 3 anazungushwa
nililipia pale kariakoo relini pale kw wakala wa tigo
nifanyeje jamani
tigo nisaidieni nifanyeje?
 
The same to me,mi pia nililipia tar 26 july palepale relini hadi leo nazungushwa
 
Du hata mimi now nina wik pale pale kkoo relini jana wameniambia niwackek j4
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom