Jamani kuna kumbe kuna waathirika hewa?

mangoa

Member
Jun 2, 2010
31
3
Jana nilipata nafasi ya kutembelea wenzentu kule goms japo kuwapa pole,ktk pita pita zangu na kukaa vijiweni niliambulia vitu vingi sn mana kuna watu wanadai wameunguliwa na radio,tv,nguo mpk za watoto wakati walikuwa hata awakahi umo ndani mfn kuna jamaa mmoja yeye nimesikia ni mjeshi msataafu sajent mlawa pale mwisho wa lami kituoni,jamaa kumbe pale kashaama anakaa pungu nyuma ya shule ya msingi pale ilikuwa amefanya sehemu ya biashara lakini muhehe yule analia na kulia nimeunguliwa kila kitu sina hata nguo,jamani ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.jamaa kapewa turubai,analetewa michele,unga,mafuta,sabuni na wasamaria huyo anapakia ktk pick up yake pugu.du sikuamini kumbe ufisadi popote,nijuzeni km na nyhe mnayajua maeneo mengine.mhe jerry,sadick mmezipata hz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom