Jamani kuna dawa ya kuzuia kutema mate wakati wa ujauzito?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Wataalam naomba mnisaidie tiba kwa wife wangu ana ujauzito wa miezi mitatu lkn anatema mate kila karibu kila dakika tano hivi hakuna dawa ya kuzuia au kupunguza hali hii maana namwonea huruma anvyoangaika hata wakati wa maongezi,hii ni mimba ya pili ya kwanza hakuwa hivi.
 
Nahisi hamna dawa. Ila anaweza tafuna vitu vichungu au vichachu km tangawizi. Wengine humung'unya pipi au chewing gum. Ila kikubwa nafikiri ni suala la kisaikolojia asiyawaze sana hayo mate pia ajitahidi kutoyajaza mdomoni. Wengine huisha after 3 months wengine 9 months
 
Jaribu nenda kamuone Daktari isije kuwa ana matatizo mengine zaidi ya hiyo mimba aliyokuwa nayo. Kamuone Dt akupe ushauri mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom