Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

Pamoja na matendo na inshu mbaya nyingi zinazohuwahusu mabinti ,
ila kila siku naomba my first child kuwa a babygal,
sijui hata kwa nini aiseee..
 
watoto wa siku hizi hawapi muda wa kuwa watoto..
wanakuwa watu wazima wenye umri mdogo mapeema mno....
kweli kabisa rafiki.
wangu alianza shule na 2 years, sababu alikuwa anamlilia kakake akiwa anaenda shule. sasa ana 3 years, nikiangalia homework zake hata sijui walimu wanataka nini kwa watoto wetu.............. mimi nilitaka akacheze tu lakini wananiambia ni mzuri sana darasani so wameamua aendelee tu badala ya kucheza.
 
dah sasa si bora awe binti utasema ndo muda wake!
Mie mzazi wangu wa kike ananchanganya na mambo hayo km vile nayeye ni kibinti cha miaka 18,
nashindwa nimfanyeje aisee wanawake mwalimu wao kipofu daah
 
usikasike mkuu,ichukulie jinsi inavyokuja.
 
Pamoja na matendo na inshu mbaya nyingi zinazohuwahusu mabinti ,
ila kila siku naomba my first child kuwa a babygal,
sijui hata kwa nini aiseee..
andaa na bastola kabisa mkuu,tena akijua ndo unampenda atatembea na kila mwenye ukuni unayemfahamu ili hasira zikupande vizuri.yaani kwa ujumla ukishapata bintimtoto anza kabisa kufarakana na marafiki zako wa kiume ili wakae mbali,pia usiweke houseboy wala dereva wala asiende gengeni,maybe asitoke kabisa yaani inabidi nikuonee huruma tu maana mwanya wowote akipata tayari kaliwa
anyway nashukuru mungu nna vidume tupu saahii nasubiri kesi tu,na im sure ntazihandle vizuri sana na kuwapa morale vidume vyangu ku-do more
so they can bring more cases
 
Mabinti ni wepesi kulea familia na wadogo zake ,
wakati watoto wa kiume muda huo anawaza ale starehe gani ,aende club ipi na aonge nini...
 
Back
Top Bottom