Jamani kulea mabinti ni kazi, kha!

hakuna hofu kwa mzazi kama mvulana wake akiwa sh.og.a
hasa haya maeneo ya mjini
ambapo mtoto anafuatwa na skul bus na mazingira mengine hatarishi.

Siwezi sema bora wa kike maana na yeye ana uchungu wake
lakini angalau watapita kwenye njia inayoruhusiwa hopeful

hapo kongosho umeua bendi. iam out:car::car:
 
hakuna hofu kwa mzazi kama mvulana wake akiwa sh.og.a
hasa haya maeneo ya mjini
ambapo mtoto anafuatwa na skul bus na mazingira mengine hatarishi.

Siwezi sema bora wa kike maana na yeye ana uchungu wake
lakini angalau watapita kwenye njia inayoruhusiwa hopeful

Kongosho mambo..

Dah... Where you dare to call "a spade" , "a spade!"
 
Pole mkuu watoto kwakweli wanaumiza kichwa sio wa kike wala wakiume . Wazazi wajifunze kuwa karibu na watoto , hi inasaidia kuwajua na kuwasaidia watakapo kwenda katika njia mbaya mapema kabla mambo hayajaharibika sana . Na tujaribu kuwa na urafiki na watoto wetu watakuwa hawana uwoga wa kutuambia mambo mengi, hivo inakuwa rahisi kumshauri .
 
ni kweli
ni kama mwezi umeisha kuna dada mmoja
kampeleka mtoto wake hospital
akampime kama wameshaharibu

bahati nzuri ikawa si kweli
ukiwa karibu na mtoto ni rahisi kugundua mabadiliko madogo madogo sana.

Nini kilimtia wasiwasi...
 
mtoto alienda kuishi kwa watu kama miaka 2
afu palikuwa na vijana vijana wakati mtoto wake alikuwa kama ana miaka 6 tu
afu aliporudi, kuna vitu vidogo vidogo akawa hamuelewi
akimuuliza anasema ndo yuko hivyo hivyo.

Mama akaona, isiwe tabu
hospitali na wataalamu wapo
akawa yuko fit tu
Nini kilimtia wasiwasi...
 
Kongosho bana...

"..vitu vidogodogo akawa hamuelewi..." anyways.. Aliangalia matembezi au, alidevop mapozi flani,ama alishuku tu... Wajua kuna watu kupitia hii thread kesho wanaweza kupeleka watoto wao hospitali kucheki..
 
nashukuru wazazi wangu waliniweka karibu na mlango wa kanisa nilisoma biblia kwa kukaririshwa mistari ilifikia wataki hata kudokoa sukari niliona ni dhambi na shule za seminary zimenisaidia.fimbo aiwezi kumbadili au kumtuliza lakini jina la yesu ndiyo dawa kwa watoto wote mapepe.
 
Back
Top Bottom