Jamani ku-share huku kunakubalika?

mimi nafikiri hata toilet na dressing table inapaswa kila mtu awe na yake

umasikini tu kwa kweli unatuangusha...
ndo maana

matajiri utasikia nyumba ina vyumba vitatu lakini kuna 8 bathrooms

umeshawi jiuliza why matajiri wanaona sifa sana kutaja idadi ya bathrooms kwenye majumba yao?????

utasikia 12 bathrooms mansion.......
ni usafi tu,hakuna kingine....
 
Ila Boss what is wrong with sharing your boxer if u can sleep with her without using a condom au u can play with her private parts using your hands??? eeeh.... unless hufanyi hayo.

Her wearing my clean boxers just for the hell of it is okay with me.
 
Sharing a toothbrush is unhygienic. The rest are within the realm of okay.

nope...
kitu chochote kinachogusa ngozi yako
chupi,soksi na kadhalika usi share na mtu.....

sio tu nguo
hata mtu yupo na bukta kulala lala kwenye makochi na jasho lake sio vizuri....

hata sebuleni tunapaswa ku avoid kugusisha ngozi zetu moja kwa moja na vitu mfano viti vinavyopokea unyevu nyevu
na watu tofauti tofauti......ndo maana kuna familia kuna sebule ya familia na ingine ya wageni....
 
Ila Boss what is wrong with sharing your boxer if u can sleep with her without using a condom au u can play with her private parts using your hands??? eeeh.... unless hufanyi hayo.

aisee kumbe wengi hamuelewi?????

unapokuwa in a mood for sex na love
liquid zinazotoka mwilini ni tofauti na liquid za wakati mwingine...

mfano amevaa boxer yangu kumbe yuko kwenye periods,??umeona???????

akiwa kwenye periods na akiwa yuko msafi na in a mood for sex ni vitu viwili tofauti....

sasa mkizoeshana its ok,hutaweza mzuia siku nyingine? mimi hata denda bila kupiga mswaki asubuhi no....lol
strange eh????
 
nope...
kitu chochote kinachogusa ngozi yako
chupi,soksi na kadhalika usi share na mtu.....

That's unrealistic if you are in a relationship! And if that's the case then don't even sleep together in the same bed.

sio tu nguo
hata mtu yupo na bukta kulala lala kwenye makochi na jasho lake sio vizuri....

Are you a hypochondriac?

hata sebuleni tunapaswa ku avoid kugusisha ngozi zetu moja kwa moja na vitu mfano viti vinavyopokea unyevu nyevu
na watu tofauti tofauti......ndo maana kuna familia kuna sebule ya familia na ingine ya wageni....

That's extreme.
 
well nafikiri niseme
ninapozungumzia sebule simaanishi wapenzi
namaanisha zaidi watu tofauti majumbani mwetu
 
nope...
kitu chochote kinachogusa ngozi yako
chupi,soksi na kadhalika usi share na mtu.....

sio tu nguo
hata mtu yupo na bukta kulala lala kwenye makochi na jasho lake sio vizuri....

hata sebuleni tunapaswa ku avoid kugusisha ngozi zetu moja kwa moja na vitu mfano viti vinavyopokea unyevu nyevu
na watu tofauti tofauti......ndo maana kuna familia kuna sebule ya familia na ingine ya wageni....

Inaelekea una kinyaa sana..its true vitu vya kugusana gusana sio vizuri. But hapa tunaongelea kwa case ya couples...so hata siku akivaa t-shirt yako,huchukui tena coz of majasho....wewe na patner wako hakuna kulishana chakula??..
 
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na vinginevyo vingi jamani hii imekaaje? Je ni sahihi? Je ni afya? Kwako inakubalika?
BEST REGARDS
Hii mbona kawaida tu????? If you can kiss, make love, touch private parts by tongues after making loves, sucking, blow jobs etc, what is so difficult in sharing a glass or a spoon? Ndo mautamu yenyewe hayo!
 
Inaelekea una kinyaa sana..its true vitu vya kugusana gusana sio vizuri. But hapa tunaongelea kwa case ya couples...so hata siku akivaa t-shirt yako,huchukui tena coz of majasho....wewe na patner wako hakuna kulishana chakula??..

Anachozungumzia Boss ni unrealistic! Kwa sababu kama mtu hupendi majasho basi hata mapenzi usifanye na mtu bali ufanye mwenyewe!
 
t shirts its ok
kulishana its ok
nguo za nje kama msuli,kanga its ok
 
Inaelekea una kinyaa sana..its true vitu vya kugusana gusana sio vizuri. But hapa tunaongelea kwa case ya couples...so hata siku akivaa t-shirt yako,huchukui tena coz of majasho....wewe na patner wako hakuna kulishana chakula??..

Tena anaonekana Ana kinyaa kibaya sana! Mapenzi hatayaweza kwa style Hiyo!
 
Anachozungumzia Boss ni unrealistic! Kwa sababu kama mtu hupendi majasho basi hata mapenzi usifanye na mtu bali ufanye mwenyewe!

nimefafanua hapo kuwa sizungumzii wapenzi
nazungumzia in general kwenye nyumba mnapoishi na watu tofauti....

vipo vitu wewe na mpenzi wako its okaay
but sio kila mtu,
kuna nyumba zina mashemeji,ma house girl/boy na kadhalika....

sasa kilamtu awe free kuweka jasho lake kwenye makochi?????????
 
Tena anaonekana Ana kinyaa kibaya sana! Mapenzi hatayaweza kwa style Hiyo!

Mapenzi ni kinyaa! Huo ndo ukweli wenyewe. Na kinyaa hutegemea na mentality ya mtu.

Si umeona watu wengi wanavyokuwa grossed out na kuchangia mswaki? Sasa hao hao usikute ndo wapenzi wa french kissing na oral sex lol....

Haya mambo ya mapenzi haya....yaachwe tu kama yalivyo.
 
nimefafanua hapo kuwa sizungumzii wapenzi
nazungumzia in general kwenye nyumba mnapoishi na watu tofauti....

vipo vitu wewe na mpenzi wako its okaay
but sio kila mtu,
kuna nyumba zina mashemeji,ma house girl/boy na kadhalika....

sasa kilamtu awe free kuweka jasho lake kwenye makochi?????????

So, what's your stance on wapenzi?
 
Back
Top Bottom