Jamani Kazi Hii Inalipa,Lakini Ni Pasua Kichwa.... Basi Tu...!!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
1.Urais wa nchi hapa Bongo
2. Uwaziri Mkuu hapa Bongo
3. M/kiti na Katibu Tume ya Taifa ya Uchaguzi
4. HR wa kampuni/viwanda vya Wadosi
5. Udakatari wa binadamu
6. Udereva wa wakubwa (Waziri,Mbunge,Wizara,etc..)
7. U-RPC
8. U-IGP
9. U-CAG
10. U-AG
 
Anyway...

Ipi pasua kichwa zaidi ya nyinginezo?

Ama unayo iliyo "pasua kichwa" zaidi ya hizo hapo juu?
 
Yes @ Shine

Kuuza duka kwa mfano...

Pasua kichwa meaning stressful job...
 
wewe ushaingia shimoni kuchimba madini?. basi ile kazi ni pasua kichwa.
 
Mmh hiyo ya Tume ni kazi kwelikweli maana kutangaza hata ambao hawajashinda kihalali unahitaji ujasiri mkubwa tena sana
 
Mmh hiyo ya Tume ni kazi kwelikweli maana kutangaza hata ambao hawajashinda kihalali unahitaji ujasiri mkubwa tena sana

Haya bana.. Vipi,kuhusu Mwanasheria wa Serikali,au tuweke Mahakimu? Na vipi juu ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali..
 
Kuna kazi inafanyika kule mitaa ya Ohio !
I n a l i p a vizuri sana ! Na hasa ukiliotea gepu la kupata Foreigner customers.
But ukiwapata wa hanohano, pasua kichwa kwelikweli !
Unakuta sometyms mteja keshautwika kakulipa alafu hataki kuvaa mfuko ! Anataka finyango kw finyango !
Ukimrudishia mkwanja wake hataki kupokea !
Kazi hii hufanyika bila stress ukiipeleka Dom Bunge likiwa kikaoni.
 
hamna foleni kwenda job
unaangalia tv ukitaka
wala utakacho

Ha ha ha ha ....... Haya bana.. Yaonesha namna gani uwezavyo kutetea pwenti yako...

Lakini vipi sokoni.. Au sokoni hakuna foleni? Au J'mosi ndo siku za sokoni..
 
Kongosho haendi sokoni, gengeni kunamtosha na khanga yake moja kifuani, nyongeza ni guarantee. Akinunua karoti moja anaongezwa hoho moja, ndimu moja na tango/pilipili 2
Ha ha ha ha ....... Haya bana.. Yaonesha namna gani uwezavyo kutetea pwenti yako...

Lakini vipi sokoni.. Au sokoni hakuna foleni? Au J'mosi ndo siku za sokoni..
 
Back
Top Bottom