Jamani Katiba ya nchi siyo kitu cha kuchezea!

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Nikisikiliza mazungumzo mengi ya watu kufuatia mjadala wa jana bungeni kuhusu Msuada wa Katiba nasikia wote wakisema “Katiba siyo kitu cha kucheza.”

Hata jana nilipowasikiza Mh Tundu Liso, Mh Anna Kilango(CCM), Mh Mrema(TLP) na hata (CUF) wote walisema “TUSIICHEZEE KATIBA”

Kinachogomba ni tafsiri ya kuchezea katiba.

Ni wakati gani unaichezea katiba?

Je, ni pale unalenga kuboresha mapungufu yalipo katika katiba au pale unapoyanyamazia?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom