Jamani karismatiki - katoliki, otiato nini kimemuua?

KASRI

Member
May 2, 2009
93
22
Kwa wenzangu wa-Karismatiki, nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mtumishi wa Mungu Otiato kilichotokea Kibaha usiku wa kuamkia Jumamosi (18 June 2011). Habari hizi tumetangaziwa Kanisani leo ila hakukuwa na maelezo zaidi.
Jamani mwenye taarifa zaidi nitashukuru.
Asante
 
Aaaah namfahamu huyu jamaa alikuwa mhubiri mzuri saana kwakweli RIP brother!
 
Kwa wenzangu wa-Karismatiki, nimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mtumishi wa Mungu Otiato kilichotokea Kibaha usiku wa kuamkia Jumamosi (18 June 2011). Habari hizi tumetangaziwa Kanisani leo ila hakukuwa na maelezo zaidi.
Jamani mwenye taarifa zaidi nitashukuru.
Asante

nilisikia ni Malaria ndio ilimsumbua akiwa kwenye huduma Kibaha..... Bwana METOA na BWANA AMETWAA
 
nimekimbia nikijua unaswali la kitabibu.. whos that dude anyways ...? kwanini bandiko lake lipo ndani ya Jf docs"

sorry for you loss
 
Ni kweli nlimfahamu sana huyu, alikuwa mtoa huduma ya kiroho. ni mtu kutoka Kenya (Mjaluo). Msishangae kuiona hii post hapa, kwani mnavyo weka taarifa nyingine mbona hamuulizi kwa nn bandiko lake liko hapa.

Alikuwa mtoa huduma mzuri sana, mhubiri wa kimataifa. Akiwa anakuja sana Tanzania kutoa huduma ya kiroho na watu wengi hasa wanakasrsmatiki Katoliki walimjua hivyo.

RIP Gabriel Otiato
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom