Jamani Kamshahara kangu!!!!!!

Ndugu yangu Katavi...mimi nakuheshimu sana, najua wewe si muongo wala msanii...ila kwa hili nakuomba uweke kausanii ka kishikaji hivi....hapa huna haja ya kukimbia wala nini...wewe tengeneza ugonjwa na uact upo HOI kitandani.....then uwe unakohoa hovyo hovyo na safari zisizoisha za uani....kulala kwa kishkaji then watenge washakaji zako kama watatu hivi ambao watakuja kwa staili ya kukupa pole......Wakifika tu getini waanze kujisemesha " Yaani sijui katavi kapatwa na ugonjwa gani??? Ghafla tu yupo HOI, ngoja Tumrushe Hospitali itajulikana" aliyefungua geti/mlango atapeleka msg kwa husika hatimae mama mwenye Nyumba. Then badala ya wewe kutoa itabidi wao ndo watoe...Kuhusu JOB ED ;azima ichukue nafasi yake..Boss wako aking'arisha sharubu zake kuja kukusabahi tu usimbakize mpige MZINGA koz wote tunajua Mgonjwa anahitaji Msaada......Tena mpige mzinga unaolingana na Mchango wa CCM......Kwisha Habari yake anakua Kachangia mara 2......

Tarehe zikisonga PONA........
 
Ahahahahaaaaah huu ushauri mnaonipa ndugu zangu kwa kweli unaniacha hoi........ngoja nianze kufanya mazoezi ya kuigiza kuumwa!!!
 
kwanza jiangalie wewe una nini cha maana kama kabisness kwa kusukuma life na pia asset ya maana usije ukaishia kuchangia sherehe kwani kuoa lzm shererhe?nakushauri pia usave kidogo uongeze elimu ujitoe TGSD.
 
Back
Top Bottom