Jamani Jirani yangu huyu!

ha ha ha mbavu sina mwenzenu duh, huu ukichaa wanao wazungu sana. cha kufanya panga utaratibu mzuri wa mbwa wako kutoa haja kubwa ili asiende tena kuchafua kwa jirani. ukilipiza kisasi ujirani utaharibika na wewe utapata aibu bure. pls usilipize kisasi utakuwa kituko kama huyu jirani yako. ila bado nacheka kwa kweli.
Sawa ndugu yangu cntolipiza kisac
 
Safi sana inabidi umshukuru jirani yako huyo kwa kukupa mbolea bule bila malipo
yoyote na ua wako utastawi ile mbaya, kwakuwa nifamilia nzima utakuwa na mbolea ya kutosa ongeza bustani ya mboga mboga hapo kwako, timiza ahadi za kilimo kwanza.
 
Habari zenu kwa ujumla,natumaini hamjambo na weekend imeisha salama,kwangu mie siku ya leo sijaamka vizuri kutokana na yaliyonitokea alfajiri ya leo,Wakuu hivi nimfanyeje jirani yangu huyu? Niliamka saa 10 alfajiri ili kujiandaa kwenda mihangaikoni basi nafungua dirisha ili niangalie nje,sikuamini macho yangu pale nilipomuona jirani yangu na My family yake yote wakijisaidia haja kubwa ktk ua wangu kwa hasira nikatoka nje ili nikamuulize tatizo ni nini. MIMI:Jirani vp tena mbona unajisaidia haja kubwa ktk ua wangu? Kwa nyodo akanibu hivi. JIRANI:We mbona mbwa wako anakuja kun*a nyumbani kwangu.kwani mie sichoki kufagia kinyesi chake?
kweli kakukera, naomba nikusaidie ku log off.... NALOG OFF kwaniaba ya washawasha...lol
 
Habari zenu kwa ujumla,natumaini hamjambo na weekend imeisha salama,kwangu mie siku ya leo sijaamka vizuri kutokana na yaliyonitokea alfajiri ya leo,Wakuu hivi nimfanyeje jirani yangu huyu? Niliamka saa 10 alfajiri ili kujiandaa kwenda mihangaikoni basi nafungua dirisha ili niangalie nje,sikuamini macho yangu pale nilipomuona jirani yangu na My family yake yote wakijisaidia haja kubwa ktk ua wangu kwa hasira nikatoka nje ili nikamuulize tatizo ni nini. MIMI:Jirani vp tena mbona unajisaidia haja kubwa ktk ua wangu? Kwa nyodo akanibu hivi. JIRANI:We mbona mbwa wako anakuja kun*a nyumbani kwangu.kwani mie sichoki kufagia kinyesi chake?

red n bolded: Huenda walikuwa wanafanya zindiko maana hiyo 'syncronization' ya whole family kupata haja kubwa at a go sio kawaida. Hebu angalia upya huo ubunifu wako then ulete upya hiyo maneno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom