Jamani jamani, sina la kusema hapa: [WARNING] DIGUSTING AND DISTURBING IMAGES

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
546262_311712335593896_1864359236_n.jpg
 
Picha kama hizi zinatukumbusha kumshukuru Mungu kwa mema aliyotutendea, wengine wetu tunaringa na kukufuru utafikiri tulijiumba wenyewe. Eee Mungu utusamehe kwa madhaifu yetu wanadamu uliotuumba kwa upendeleo, sio sisi ni shetani ametukalia vibaya.AMEN
 
Ni ajali ya BODABODA au hizi GURUNETI jeshi la polisi wa Tanzania zimemfanya ate hivyo??
 
joseph konny kule uganda na charles tayler amefyeka san amidomo ya watu kule, alikuwa na koni anakamata watu anawakata midomo na kuwaachia....unyama mkubwa sana huu.
 
Mungu wangu wewee! sina cha kusema nimestuka sana ila Asante kwa jinsi nilivyo!
 
Mkuu Bongo hyo?
Well, kama huyu anafanyiwa tiba na kuonekana nafuu kuliko ilivyo sana. Kama angefanyiwa akiwa mdogo wala asingefika hapo. Hyo cleft lip huwa inarekebishwa kwa surgery. Mara nyingi huwa kuna flying doctors mabingwa wa plastic surgery kutoka Brazil na Egypt huwa wanatembelea sehemu mbalimbali za Tanzania kwa mwaliko wa AMREF. Kwenye meno inafanyika dental job mpaka unamsahau hyo. Sasa sijui ndo mmoja wa victim wa kuishi mbali na health facilities?
 
Back
Top Bottom