Jamani jamani PakaJimmy!!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
PakaJimmy PakaJimmy huyu mwenzetu anayeitwa PakaJimmy anayependa sana kuifokea laptop, alikuwa na pacha wake PakaMweusi, sijui amepotelea wapi PakaMweupe ambaye alielewana sana na PakaJimmy pamoja na PakaMweusi pacha wake! PakaJimmy tafadhali ukachukue fomu ya ugombea Ubunge 2015 jimbo la JF uwe Mbunge wetu wa JF!! PakaJimmy PakaJimmy!!! Upooo??
 
Back
Top Bottom