Jamani jamani ndugu zangu wa darajani CHELSEA

nachid

JF-Expert Member
Apr 14, 2011
936
203
Leo naona vijana wa darajani mtabugia mengi kwelikweli coz mnautafuta mpira kwa tochi, KAZI MNAYO
 
Beki ya Chelsea inajitahidi so far.Ila hawakai na mpira hata kwa yale mashambulizi yao ya masafa marefu na offside zimekuwa nyingi kwa huyu Bwana Drogba.
 
Chelsea wamenifanya leo nilale fresh maana nilibet nikasema wanashinda,kwa hiyo kesho asubuhi na mapema naenda kuchukua mzigo maana salio langu lote nilibet ,yaani hapa ni full shangwe.
 
Back
Top Bottom