Jamani Injinia yuko wapi

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
Join Date26th February 2008Last
Activity17th january 2010 07:26 AMAvatar
avatar9548_3.gif


Jamani huyu member amepotelea wapi?
 
Angalizo: Usije ukachanganya kati ya Injinia na Engineer, ni watu wawili tofauti humu (kwa ID)! Ninavyojua mimi yule Engineer ni mfuasi mkubwa wa siasa za Kyela, ila Injinia sijafuatilia sana mabandiko yake. Ni angalizo tu!
 
Yo Yo kapotea
Chaku yuko wapi?
YNIM kenda wapi?
Penny wapi?
Kelly wapi?

kuna watu wengi sijui wako kwenye mchakato wa uchaguzi ...missing you guys
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom