Jamani inamaana mapenzi ndo yamekwisha au?

bhikola

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,130
1,660
Tanzania Tanzania, Nakupenda kwa moyo wotee
Nchi yangu Tanzania, Jina lako ni Tamu sana
Nilalapo nakuota wewe, Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania tanzania, Mola awe nawe Daima

Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ...
 
..ya nafakaaaaa....

Nasema kwa kinywa na huku nikifikiriiiii
nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaaaa

majira yetu hayaaaa
yangekuwaje sasa
utumwa wa nchi nyerere ameukomeshaaaaaaaaa

chemchem ya furaha amani tumaini
nitalalamika kukuacha tanzaniaaaaaa
majira yetu hayaaaa
yangekuwaje sasaaaa
utumwa wa nchi nyerere ameukomeshaaaaaa

nilikuwa nachukia assembly lazima kuimba hii, tanzania tanzania, na wimbo wa taifa, daily.....
 
zamani nilikuwa nikiimba huo mwili unasisimka kwa uzalendo niliokuwa nao wakati huooo lakini kwa sasa imekuwa sauti pweke nyikani hata kope hazistuki
 
zamani nilikuwa nikiimba huo mwili unasisimka kwa uzalendo niliokuwa nao wakati huooo lakini kwa sasa imekuwa sauti pweke nyikani hata kope hazistuki

ha ha ha sasa hivi hata hauutamani? inamaana mapenzi yako kwa tanzania yamepungua Jiwe Linaloishi
 
Dah! Badili tabia umetisha, nikupa na like kabisa
vijana wa siku hizi hawajui hizi nyimbo, warudishe mchakamchaka na JKT ili watz tujenge utaifa wetu upya
 
"Hivi ile akaunti yangu ya uswisi umeshaweka zile dola laki....? Hakikisha zile akaunti zingine nazo unabadilisha ownership nimeshamalizana na mtoto wa mkulu amenipa mtu wake atasimamia". Huo ndio wimbo wa wanene. "mama nina njaa" hizo za uswazi.
 
huo wimbo wa tanzania tanzania nilikuwa siupendi ni mrefu na mpaka leo ukinambie niimbe wote peke yangu kuna sehemu ntakwama tu ulikuwa ukipigwa na baridi ya huku kwetu tabu tupu tena ni j tatu na alhamis siku za usafi
 
ha ha ha sasa hivi hata hauutamani? inamaana mapenzi yako kwa tanzania yamepungua Jiwe Linaloishi

sana tu mkuuu na yote haya yanasababishwa na watawala wetu.. wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawsikii, wana akili lakini hawazitumii kila kitu wameweka kwenye kapu wanachumia matumbo tu
 
..ya nafakaaaaa....

Nasema kwa kinywa na huku nikifikiriiiii
nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzaniaaaaaa

majira yetu hayaaaa
yangekuwaje sasa
utumwa wa nchi nyerere ameukomeshaaaaaaaaa

chemchem ya furaha amani tumaini
nitalalamika kukuacha tanzaniaaaaaa
majira yetu hayaaaa
yangekuwaje sasaaaa
utumwa wa nchi nyerere ameukomeshaaaaaa

nilikuwa nachukia assembly lazima kuimba hii, tanzania tanzania, na wimbo wa taifa, daily.....
naskia wewe ulikuwa hedgel wa cacico korogwe gels kisha mkaolewa nyumba moja,aisee.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Badili tabia umetisha, nikupa na like kabisa
vijana wa siku hizi hawajui hizi nyimbo, warudishe mchakamchaka na JKT ili watz tujenge utaifa wetu upya

Uzalendo wakati wenzenu wanapiga hela! We unahangaika na hiyo JKT mwenzio anapeleka mwanae ulaya kusoma u-pilot unakuja mtaani kifua mbele kuwa wewe ndo mzalendo then unakutana na mwenzio kamaliza masomo na ana hela balaa hadi viongozi wako wanamuogopa!

Achana na mambo ya kupoteza muda sijui mchakamchaka to hell, ni mwendo wa kusaka mapene tu!
 
Tanzania Tanzania, Nakupenda kwa moyo wotee
Nchi yangu Tanzania, Jina lako ni Tamu sana
Nilalapo nakuota wewe, Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania tanzania, Mola awe nawe Daima

Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ...
Nasema hivi Sikutaki,...Hata unibembeleze vipi nimekuchoka na wimbo wako wa zilipendwa,nataka bongo fleva
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom