Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!

Duh, yenu kiboko Karata, khaa!
But how free are you ktk kujimwaga? I can foresee somekind of limitation......not sure though!

kwa sie tunaopita jukwaa la siasa na kumwaga data zenye ushahidi ni ngumu id zetu kuziweka wazi. Huwezi jua adui yako ni nani, unaweza kuta unatafutwa na rama sasa hivi. Kumbukeni kuna watu walifukuzwa kazi pspf kisa kumwaga uovu uliofanyika pale humu. Nahisi ni baada ya id walizokuwa wanatumia kufahamika.
 
ID za jamii forums nyingine zinafanana na mtu alivyo na uhalisia wake huko uraiani na nyingine ni tofauti na mtu alivyo huko uraiani. Waweza kuta mtu hapa jf ni machachari ila huko ni mpolee and the opposite. Wengine humu ni mashushushu na wengine humu ukoo wote uko hapa na wanflirtiana bila wao kujijua, baba anamflirt bintiye, mama anaflirt na kaka yake mwalimu na dent, bosi na mfanyakazi bila kutambulishana in real. Some how this is like a game u live the way u want nahisi limit ni kuweka au kuongea porn ndo hairuhusiwi.
For me its good coz naenjoy, reduce stress, make myself happy and have fun. Sitataka mtu yeyeote anayenijua ajue ID yangu wala mimi sitaki fahamu ID ya mtu yeyeote ninayefahamiana naye. So I count everyone here as a new friend.
Kweli zinaficha mengi hata avatar pia zina message kwamba huyu mtu anapenda nn au anafurahia nini lol

Taratibu bibie; ina maana mimi napenda au kufurahia Nzi?!

Anyway, ID za humu kweli zinaficha na kufichua mengi sana...acha tu.
 
heheheeeee ss wote tupo humu, hakuna anayejali nan ni nan na anafanya nn, katofauti ketu ni kuwa wakat mi nipo humu kwenye malovee, mwenzangu huwa anapitia huko kwenye siasa, heheeeeee.
 
duh! mito mimi niko sitak mtu anijue kabisa kama niko jf.
na nashukuru sana jina langu ni gumu so watu hawaliwez na mii mwenyewe sijisemi kabisaa. Miye hata nikimuona mtu anakuja karibu yangu nafunga pc mapema pasi hata kuzima wallah manake na utumbo wangu wa humu lol! huyo mume angezimika jamani asingeamni busara zote nikiwa naye kumbe nsikojulikana niko na pumba kiasi hiki.

unajua ukweli ni kwamba binadamu wengi hususani waafrika tumedhohofika sana kwenye suala la huru wa mtu binafsi ndo maana inakuwa ngumu mtu kufanya jambo bila kujiamini 100% na hata kama ukifanya utaona kama vile umekosea sana kumbe wala ni maisha ambayo kila mmoja anayapitia hata yule ambaye unamhofia
 
Last edited by a moderator:
Taratibu bibie; ina maana mimi napenda au kufurahia Nzi?!

Anyway, ID za humu kweli zinaficha na kufichua mengi sana...acha tu.


heheheeee sio hivo yawezekana unapenda wadudu kwa ujumla au unawachukia hasa huyo inzi au yawezekana ww ni mtafiti wa magonjwa yanayotokana na nzi au ulishapata utani somewhere watu wakakutania something relalted to nzi and now u reflected it here but this is my emagination can be out of it.
 
Au mtu anakuona na t-shirt la jf, anakuangalia wee alafu anakausha tu.....ila we unakuwa umeshahisi kabisa kuwa na huyo nae ni member!

eeeh! I would like to get one Tshirt of Jamii forums if there is please. Zinauzwa? wapi zinapatikana?
 
Duu mie wote ambao ni marafiki zangu ndio walinishawishi niingie huwa sii mpenzi sana na mitandao ya kijamii hasa kuwa registered.
 
Ha ha ha ha, no comment
Wameni-mute na remote wakatupa!

Teh teh teh...mbavu zangu pliiz!Are you a canibalist?or is it on some occasions?you really eat it?how much you like human sushi?jamaa ako we mchagga?I got some realy nice "flesh sushi" to satisfy your "hunger" so to speak!
 
Mbona tunaogopa sana wenzi wetu kulikoni?inawezekana wengi wetu humu maisha yetu niyakucheza sinema.
 
mito, anza kuwauliza kama wapo humu au lah. Mi nashangaa kwanini watu wanajificha sana hawataki kujulikana kama ni members humu ila ukimuuliza kama yupo facebook anajibu kwa nguvu zote.
 
Last edited by a moderator:
mito, anza kuwauliza kama wapo humu au lah. Mi nashangaa kwanini watu wanajificha sana hawataki kujulikana kama ni members humu ila ukimuuliza kama yupo facebook anajibu kwa nguvu zote.

aaaha Catherine (hapo kwa red) unanilengesha eehe! mi mwenyewe sitaki kujulikana. Usichangae Catherine (hapo kwa blue) sababu ni kama walivyosema gfsonwin, braine n kurt na wengine wengi .....unakosa uhuru wa kujimwaga vizuri MMU
 
Back
Top Bottom