mwalim me nimeipenda hiyo avatar ila mwez huu siruhusiwi kuikodolea:sleepy:thanks but inamaana yeyote kweli? sijui to me ni just numbers.ama hebu nieleweshe kiongozi?
mwalim me nimeipenda hiyo avatar ila mwez huu siruhusiwi kuikodolea:sleepy:thanks but inamaana yeyote kweli? sijui to me ni just numbers.ama hebu nieleweshe kiongozi?
duh! mito mimi niko sitak mtu anijue kabisa kama niko jf.
na nashukuru sana jina langu ni gumu so watu hawaliwez na mii mwenyewe sijisemi kabisaa. Miye hata nikimuona mtu anakuja karibu yangu nafunga pc mapema pasi hata kuzima wallah manake na utumbo wangu wa humu lol! huyo mume angezimika jamani asingeamni busara zote nikiwa naye kumbe nsikojulikana niko na pumba kiasi hiki.
Binafs imewah kunitokea,baada ya mabom ya gongo la mboto,kuna siku wahindi walikuwa na sherehe yao kukawa na milipuko,sasa hapa jf watu wakawa wanauliza jamani eee mnasikia huko,kila mtu alisema lake,kuna mmoja akasema mimi nipo kinondoni naskia,aaah,kwakua nami naish kinondon nikamuuliza upo kinondon ipi/.akasema mosko,uh nikamwambia ipi akaelekeza tena,nikamwambia isije ikawa tupo nyumba moja,,,,,katika kuelekeza tukajikuta tunakaa nyumba moja,asbuhi tukawa tunacheka ndo hadi leo,ingawa hatupo nyumba moja ila akiwa hapa najua:israel:
wengine hatuna la kuficha maana tunatumia majina yetu halisi, watu wangu wa karibu wapo humu na wanajua me ni member tunapishana tu humu na hakuna shida yeyote na huwa na comment kwenye post zao.
I don't share my laptop either at home or at work.....kwahiyo sina hofu. Nyumbani wanajua kama mimi nacheck JF and they real don't care coz they don't check in.
wengine hatuna la kuficha maana tunatumia majina yetu halisi, watu wangu wa karibu wapo humu na wanajua me ni member tunapishana tu humu na hakuna shida yeyote na huwa na comment kwenye post zao.
mito unajua kwanini huwa hatupendi? ili tuweze kuongea freely kwani ukijulikana lazma lazima heshima yako uilinde ama umesahahu? jf bana naona hii mbinu ya kwa na hidden ID ni nzuri sana na binafsi nafagilia.Aahaa gfsonwin kumbe tuko wengi tusiopenda kujulikana