Jamani I am having a blind date with a JF girl, please help me

hello everyone, what vital factors are you supposed to consider as you prepare to meet a blind date, that gonna happen tommorrow. What do you think?

Please help me?
samahani mkuu,kwani hujatimiza umri wa miaka 18??? Maana haya mambo mara nyingi hayana tuition.
 
Hello everyone, what vital factors are you supposed to consider as you prepare to meet a blind date, that gonna happen tommorrow. what do you think?

Please help me?

Just be you, feel the whole show!! ..and make sure you real feel and be aware of it ...and express it as the way you feel it ..!!

Make sure you bring the feed back ... Eh?
 
Mkuu mbona unatetemeka roho kabla ya siku ya siku. Amesha ku PM na kujuwa hayamkini? Hongera zako, tuambie ni nani huyo hapa JF?
 
Wakuu sio kama natetemeka roho. Mdada mwenye ana jina kubwa hapa JF. Hiyo ndio hali halisi, mambo yote Jumamosi, walah nimebahatika mie.
 
Hakikisha mnakutana eneo lenye watu kama bar, restaurent etc. Usimpeleke kwako/kwenu hadi mtakapo juana zaidi.
 
Ushauri wa muhimu kabisa HAKISHA UNAKUWA WA KWANZA KUFIKA ENEO LA TUKIO.
Kinyume na hivyo unaweza kuomba Dunia ipasuke utumbukie!
 
Hello everyone, what vital factors are you supposed to consider as you prepare to meet a blind date, that gonna happen tommorrow. what do you think?

Please help me?
We jiandae na ku-hit na run ila baada ya date unaanza upya maamuzi kama uendelee au la. Unaweza ukajiandaa kumuowa kumbe mtu mwenyewe ni wewe mwenyewe na ID zako mbili
 
Lol! Mdada anaweza kumtangulia,akamuona ndivyo sivyo akamzimia simu? Ujana kazi aisee
Ushauri wa muhimu kabisa HAKISHA UNAKUWA WA KWANZA KUFIKA ENEO LA TUKIO.
Kinyume na hivyo unaweza kuomba Dunia ipasuke utumbukie!
 
Hello everyone, what vital factors are you supposed to consider as you prepare to meet a blind date, that gonna happen tommorrow. what do you think?

Please help me?
Eti "JF girl".....kuna wengine ni vibibi kabisa humu...jiandae tu kumpa 'shkamo' yake!
 
Dah nothing special..., be simple, be humble and charming. talk slowly and dont talk nonsense..dont be too proud, mpe muda na yeye wa kuongea na umsikilze kwa makini ukimuangalia machoni..usitafune kucha...lol. aaah list ni ndefu...NO na kwanini mwanaume usijiamini mwenyewe mpaka upewe maujanja bhana?
 
Tupe mrejesho basi na yatokanayo ya "blind date" yako angalau wadau wajue kama ushauri ulifanya kazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom