Jamani huyu ni mwanmme au mwanamke?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
<input id="post_form_id" name="post_form_id" value="330bfc4b55c8b4e90e66fb05f9397e46" autocomplete="off" type="hidden"><table><tbody><tr><td align="center" width="100%">
</td><td valign="middle"><label class="caption_save uiButton uiButtonDefault uiButtonMedium" id="done_tagging"><input value="Done Tagging" onclick="PhotoPageTags.hideTaggingUI();" type="submit"></label></td></tr></tbody></table>



JAMANI HUYU MWANAMME AU MWANAMKE? NAOMBA JIBU KWENU
 
huyu ni kidume, anapiga nondo saana, misuli imetoka shingoni na kifuani, ni mazoezi mengi ya kubeba vitu vizito ndo yameufanya mwili wake kuwa hivyo!
 
Kichwa cha huyo mtu kiko tofauti na mwili. kichomekwa tu hapo juu. kwa hiyo hao ni watu wawili tofauti
 
Kichwa cha huyo mtu kiko tofauti na mwili. kichomekwa tu hapo juu. kwa hiyo hao ni watu wawili tofauti

Ni kweli wako tofauti sana, Uso umezeeka mwili kijana. Uso wa mwanaume mikono ya mwanamke Achana na maziwa. tufananishe vitu vingine. Hebu tuwekee hadi chini kabisa tuone Usafiri wake ukoje!!
 
Hapo,kichwa ni mwanamme mzee,chini mwanamke,tena kinda,japo laonekana km lina ngoma tiyari!
 
anaweza kuwa ni mwanaume kwani kuna hali inawapata baadhi ya wanaume kuwa na matiti (gynaecomastia) kutokana na kutumia madawa fulani.
Vile vile huenda ni watu wawili tofauti,kichwa cha mwanaume kimechomekwa kwenye shingo la mwanamke, ni utundu tu wa computer,graphics, kwa kuona zaidi graphics inavyofanya kazi tembelea freakingnews.com - news photoshop pictures contests - home page

sure!
Hebu check kifaa km hiki
wangekuwepo wa hivi,safi kwa t..o!!!
Maana unachezea na manyonyo kiraisi
 

Attachments

  • tigo.jpg
    tigo.jpg
    72.1 KB · Views: 46

Similar Discussions

Back
Top Bottom