Jamani huyu ni mrembo gani?

Pengo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
579
10
Haya jamani haya ni mambo ya mwisho wa wiki si vibaya wakwale mkasafisha macho kwa kuangalia mastaa wetu wa bongo na vibweka vyao.

aunt_ezekiel.jpg
 
Anyway kiburudisho kwa muonekano kimetulia,lakini usalama upo?wakwale lazima muwe makini na hawa walembo
 
why all the time women women am tired huu ni udhalilishaji sasa tuwekeni na wanaume waacheni hawa wadada wakae kwa amani
 
Haya jamani haya ni mambo ya mwisho wa wiki si vibaya wakwale mkasafisha macho kwa kuangalia mastaa wetu wa bongo na vibweka vyao.

Niliwahi kuuliza huko nyuma sikujibiwa na leo narudia tena,Hivi hii milupo mnaitoaga wapi jamani?
 
Nasikia ana asili ya Mbeya,ni zao la maharage ya soya " maji mara moja"
 
why all the time women women am tired huu ni udhalilishaji sasa tuwekeni na wanaume waacheni hawa wadada wakae kwa amani

Sasa ni udhalilishaji gani unauzungumzia? Hakuna aliyemlazimisha kuvaa hivyo useme kaonewa, sio nguo imechukuliwa na upepo useme ni bahati mbaya-wenyewe wanapenda kuvaa hivyo na wanapenda watu wawaone hivyo ndio maana wanapozi mbele ya kamera kwa madoido yote. Tusipofurahia hizi picha wataumia sana! na kwa kweli hakuna sababu ya kumuumiza mwenzio kama unaweza kusaidia
 
Sijawahi kuona picha ya huyo dada ana nguo ndefu, hivi babake anamwangaliaje,? Ndio maana siku hizi huwa wanalambwa na wazazi wao
 
Haya jamani haya ni mambo ya mwisho wa wiki si vibaya wakwale mkasafisha macho kwa kuangalia mastaa wetu wa bongo na vibweka vyao.

hongera dada umejaliwa na wewe kivyako na mungu wetu baba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom