Jamani huyu my wife vp?

Jamani wadau mi ninawife ambaye tumefunga naye ndoa km 2yrs now na tuna mtoto mmoja.Tatizo wife wangu anapenda sana kununa hata kwa vitu vidogo na hii tabia ameianza wakati akiwa mjamzito haikukoma hadi leo,nimejaribu kukaa naye nikamshauri inakuwa kazi bure,inaweza kumaliza wiki amenuna tu .kwa ujumla tabia hii inanikera sana napenda kufurahia ndoa yangu lakini waifu ananiboa sana ingawa nampenda sana.Nisaidieni mawazo naona ndoa yangu ipo hatarini.
.................hanuni..............ndivyo alivyo..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom