Jamani huyu my wife vp?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Jamani wadau mi ninawife ambaye tumefunga naye ndoa km 2yrs now na tuna mtoto mmoja.
Tatizo wife wangu anapenda sana kununa hata kwa vitu vidogo na hii tabia ameianza wakati akiwa mjamzito haikukoma hadi leo,nimejaribu kukaa naye nikamshauri inakuwa kazi bure,inaweza kumaliza wiki amenuna tu .kwa ujumla tabia hii inanikera sana napenda kufurahia ndoa yangu lakini waifu ananiboa sana ingawa nampenda sana.Nisaidieni mawazo naona ndoa yangu ipo hatarini.

Wewe pia utakuwa unamboa.

Majibu ya mkato, kutokujali (au kuonesha kwamba unajali), ubabe, umimi, n.k.

Jichunguze wewe kwanza, athawaiz ulichemka tokea mwanzo. Meaning system zenu ziko incompactible, you may have to uninstall, upgrade or downgrade to previous version of Wife 2.0.

Mpe Ultimatum kwamba hiyo tabia aiache, inakuboa, akiendelea utafanya kweli. Waweza kuwahusisha pia viongozi wako wa dini au wazazi ..... yawezekana kuna vitu amereservu hataki kuwa wazi..... awe wazi.

ni namna yake ya kukuonesha kuwa hujawa karibu yake kiasi atakacho. jaribu kuongea nae kwa ukaribu na udadisi atakueleza yaliyo moyoni mwake. inawezekana amejitahidi kukuelewesha ila wewe ndo umekuwa na mawazo hasi kuwa labda anaenda mbali kuliko apaswavyo kwenda. hebu jaribu kubadili approach yako kwake uone kama hakutakuwa na mabadiliko

Jamani nimesema sijafikia hatua ya kutaka kumwacha my wife ninachotaka ni kuondoa hili tatizo ila niyafurahie maisha ya ndoa kuoa mke mwingine haitanisaidia kumbuka tayari nimezaa naye mtoto.

Mpe Ultimatum kwamba hiyo tabia aiache, inakuboa, akiendelea utafanya kweli. Waweza kuwahusisha pia viongozi wako wa dini au wazazi ..... yawezekana kuna vitu amereservu hataki kuwa wazi..... awe wazi.

nahukuru kwa ushauri mkuu ubarikiwe sana.

Jamani nimesema sijafikia hatua ya kutaka kumwacha my wife ninachotaka ni kuondoa hili tatizo ila niyafurahie maisha ya ndoa kuoa mke mwingine haitanisaidia kumbuka tayari nimezaa naye mtoto.
labda wewe ni mbishi flani akikuambia kitu usikilizi so kaamua kuuchuna kaona anaongea bure.chukua hatua za ziada mbembeleze vizuri kwa nyimbo na mashairi mazuri kama enzi zileeeeeeeeeee pia penda kufata anavokuambia hata kama si ushauri mzuri kataa kwa ustaarabu

shindwa huko.kwani uko kwa wapili kuna furaha tu hamna nuniwa? kama huna ushauri tulia tu humu ni great thinkers watampa majibu mazuri.
Nao ni ushauri dadangu, shusha munkari.
Ukiwa na wake wawili kila mmoja atakuwa anacompete to make you happy.
Broaden your thinking.

Inawezekana kuna mahali unakosea mkuu..jaribu kujichunguza na pia hebu jaribu kuongea ujue tatizo ni nini.
Inawezekana kukawa na tatizo dogo ila tatizo hujalifanyia kazi.
Hongera kwa kupata mtoto.

Jamani wadau mi ninawife ambaye tumefunga naye ndoa km 2yrs now na tuna mtoto mmoja.
Tatizo wife wangu anapenda sana kununa hata kwa vitu vidogo na hii tabia ameianza wakati akiwa mjamzito haikukoma hadi leo,nimejaribu kukaa naye nikamshauri inakuwa kazi bure,inaweza kumaliza wiki amenuna tu .kwa ujumla tabia hii inanikera sana napenda kufurahia ndoa yangu lakini waifu ananiboa sana ingawa nampenda sana.Nisaidieni mawazo naona ndoa yangu ipo hatarini.

Muangila pole saana.... Umeoa tu mmoja wa wale watu ambao wana daily
mood swings na mara nyingi kumrekebisha kazi ipo for sio voluntary...

Kwa maana nyingine possibility ya yeye kubadilika kazi ipo...

Jitahidi kuwa mcheshi,cheza cheza nae mtekenye tekenye na pata muda wa kutosha wa kuwa nae.

Pia kumkosoa sana na kumkashifu mwanamke humsabisha anune

na huu mgao wa umeme, usiku unaonaje kama amenuna? akinuna kwenye giza unapotezea......au mtekenyetekenye

labda wewe ni mbishi flani akikuambia kitu usikilizi so kaamua kuuchuna kaona anaongea bure.chukua hatua za ziada mbembeleze vizuri kwa nyimbo na mashairi mazuri kama enzi zileeeeeeeeeee pia penda kufata anavokuambia hata kama si ushauri mzuri kataa kwa ustaarabu

Ntalifanyia kazi mkuu ni ushauri makini

Inawezekana kuna mahali unakosea mkuu..jaribu kujichunguza na pia hebu jaribu kuongea ujue tatizo ni nini.

Inawezekana kukawa na tatizo dogo ila tatizo hujalifanyia kazi.

Hongera kwa kupata mtoto.

Asante sana kaka nimekupata

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom