Jamani huyu model Jenipher kama kashushwa

mie kwangu supa modo tanzania atabakia kuwa huyu, anatisha kwenye kiwanda cha modo, hana mpinzani kwa ujasiri, toto natural..

66553_124064297648206_100001339101765_115553_2242580_n.jpg

Kaa!!! Hili dungayembe...
 
Wandugu naomba kuelimishwa. Uzuri maana yake ni nini? Je uzuri upo general au kila mtu na mtazamo wake?

Fikra zangu mimi zinaniambia unapozungumzwa uzuri inamaanisha ni muonekano wa mtu mbele ya macho ya mtu. Aliye na nywele nzuri, sura nzuri, unyororo na ung'avu wa ngozi, umbile lake na mkao wa mavazi mwilini mwake, atakayevuta macho ya wengi katika hivyo vigezo basi ndiye mzuri bila kujali masuala ya tabia, hicho ni kitu kingine kabisa.
 
Mabinti wazuri, ila mie hizo nywele za kununua tu ndo zinaniboa.
 
kumbuka, nje na ndani ni vitu viwili tofauti.



Since these pics only show the outside, shouldnt we then be judgin Jenipher on that? Unless ofcourse you know her kwa undani,!??"
 
hakuna mzuri hata mmoja hapo,

wote make-up tu simewasaidia,,,,

wekeni picha zao wakitoka kuamka ndio tutathimini uzuri wao.......
 
Huyu unatafuna mpaka mifupa yake yote, mwana tetere huyu! Looo

Tatizo kuku wa siku hizi ukiwashika mabawa tu unawakwanyua....hata kukimbia hayawezi...wewe tafuta kuku ya kienyeji nzuri uone utamu...utabugia mchuzi wote na chumvi yake......
 
mtoto mkali sana, ila angeweka na nywele zake asilia japo picha moja aisee

vipilipili sometimes vina vituko vyake
 
mwacheni Mungu aitwe Mungu.....................................
Sijui kama ukiwa na totozi kama hii mtu unaweze ku-cheat..............

zeanimo.., tatizo la moyo wa binadamu ukitamani kitu kwa kiasi kikubwa na kuwa nacho., spidi ya kukichoka inakuwa kubwa pia..! Ukishamtumia hawi wa ajabu tena kama mwanzo..! Jambo la muhimu ni kumuomba MUNGU akupe ustahamilivu na moyo wa kuridhika na uliye naye..!
 
Back
Top Bottom