Jamani huyu mnyarwanda naye ni mteule wa Blandina Nyoni!

Kuwa na damu ya Rwanda sio hoja....wenye damu ya Tanzania kama wale unawajua wewe wametuumiza sana na utanzania wao.
:A S 13::A S 13:
 
Wanyarwanda wamepewa mpaka kazi za usalama wa taifa sembuse ukurugenzi idara ya ustawi wa watoto,hii ndo Tanzania bana

Hiyo ni enzi zileeeee siyo leo tena. Tz ya leo watu wanazitolea macho nafasi kama hizo na ikiwa na ubishi tu basi tayari washakupakazia siyo raia.
 
Najua watu wakiona jina Blandina Nyoni watashtuka !
Lakini tutaendelea kumwaga ***** kuhusu huyu mama ambaye alijaa kiburi cha kimamlaka ,hongereni madkatari !
Mojawapo ya staili aliyokuwa anatumia ni kuchagua viongozi legelege ili awaburuze!
Ndichoalichofanya kwa idara ya usatwi wa jamii!
Leo sitaongelea udhaifu wa idara ile ndani ya wizara!ila ninamwongelea Kamishna msaidizi Bi JEANNE NDYETABURA ambaye ni school mate wa Blandina Nyoni na rafiki mkubwa!
MAMA huyu aliteuliwa kuwa Kamishna msaidizi wa idara ya ustawi wa jamii anayeshulikia masuala ya watoto na familia!
Bi Jeanne NDYETABURA NI MIKIMBIZI TOKA RWANDA ALIYEZALIWA RUKWA NA AMEOLEWA NA AFISA USALAMA MSTAAFU BW ,NDYETABURA!
CHA KUSIKITISHA NI KUWA HUYU MAMA AMBAYE NI MWALIMU ALIYEKIMBIA FANI AMEKWEA HADI NAFASI YA UKAMISHNA ILHALI SI MTANZANIA WA KUZALIWA,INAWEZEKANA AMECHUKUA ARAIA BAADA YA KUOLEWA NA MTANZANIA,LAKINI MATENDO NA MWENENDO WAKE YANAONESHA KABISA KUWA YEYE NI MNYWARANDA KWA SABABAU HAFANYI KAZI YOYOTE YA KUWATUMIKAA WATANZANIA BALI ANATAFUTA FEDHA!
MIMINI MDAU WA IDARA YA USTAWI WA JAMII ,NAMJAUA VIZURI SANA NA JINSI MAMA NYONI ALIVYOKUWA ANAMLEA KAMA RAFIKI YAKE!
INASIKITISHA SANA KUONA SERIKALI HAINA MECHANISM YA KUANGALIA WATU WA KUWAPA MADARAKA !
ANAYEBISHA AFANYE UCHUNGUZI HAPO WIZARANI ,HUYU MAMAM HATA LIKIZO ANAKWENDA KIGALI!
UKITAKA KUJUA KUWA KAMISHNA HUYU HAWATUMIKII WATANZANIA .....MWAKA JANA ALIDIRIKI KUMPELEKA SHORT COURSE BINTI YAKE ANAYEFANYA KAZI BARCLAY BANK KWENDA KWENYE MAFUZO YA MWEZI MMOJA KUHUSU MASUALA YA AFYA NA WATOTOWANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI INAYODHAMINIWA NA SERIKALI YA SWEDEN KWA WATAZANIA WANAOFANYA KAZI KATIKA MASUALA YA WATOTO!
HII NDIO TANZANIA HATA WANYARWANDA WANATUCHEZEA NDANI YA NCHI YETU

Hayo matendo unayoyasema ni ya kifisadi na si ya kinyarwanda.
 
ukiona hivyo ujue tunaanza kutafuta justification ya kumwondoa ili aingie mwingine.. Kunani Wizara ya Afya kila mtu mnataka aondolewe. Acheni majungu pigeni kazi..
 
nashindwa kabisa watu kumshambulia mtoa hoja,tusiharakishe kumjibu,tuchunguzeni turudi kumjibu kwa ushahidi. Mimi binafsi naona si sawa kupewa vyeo vikubwa serikalini,ingawa kule Botswana na Namibia waTZ wengi ni mabosi wizarani
 
hapana ndugu mnyarwanda hawezipewa nafasi kama hiyo, nchi yetu iko makini na ina mifumo imara ya kuchuja watu, kwenda tu kigali haitoshi kuthibisha kuwa ni mnyarwanda hebu tupe data za kutosha ili ueleweke

Mkuu huellewi nini kinaendelea nchi hii'wageni kibao wameshika nafasi nyeti'waliandaliwa zamani wakati baba zetu wamelala'wapo wengi hatuwezi kutaja ila serikali ya ccm kwa uzembe wa hali ya juu italaumiwa sana
 
nashindwa kabisa watu kumshambulia mtoa hoja,tusiharakishe kumjibu,tuchunguzeni turudi kumjibu kwa ushahidi. Mimi binafsi naona si sawa kupewa vyeo vikubwa serikalini,ingawa kule Botswana na Namibia waTZ wengi ni mabosi wizarani
Unaona sasa! Tunafuatilia mambo yasiyo na tija tunasahau mambo yenye kuleta tija. Hatuwezi kujenga taifa lenye nguvu kama kila siku ni kushughulikia mababu na bibi zetu walitokea wapi for no good reasons.
 
Kuwa na damu ya Rwanda sio hoja....wenye damu ya Tanzania kama wale unawajua wewe wametuumiza sana na utanzania wao.
:A S 13::A S 13:

Hilo hatutaki kuliona wala kulizungumzia...how can we go ahead?
 
hujui kuwa kuan wakimbizi wapo rukwa,tabora nk zaidi ya miaka 60!

Huyu VOCHA kasajili ID hii kwa ajili ya hii post yake na hajachangia kwingine, kumbe siku hizi akikuudhi mtu ofisini mkwala ni kumbandika JF?
 
Wanyarwanda wa Rukwa ni watanzania,hao Wanyarwanda walikimbia vita ya mwaka 55 kama sikosei,Baba wa Taifa baada ya uhuru kwa sababu ya masuala ya PANAFRICANISM aliamua kuwaita wageni wakazi na baadae kwenye miaka ya 60 aliwapa Uraia,ukienda mkoa wa Katavi,wilaya ya Mpanda utakuta kijiji kipo KM kama 100 kianitwa Mwese,iki ni kijiji cha hao waliokuwa Wanyarwanda.Ni ukweli usipingika kuwa pamoja na kupewa uraia watu hao bado wanajiona kuwa ni wanyarwanda zaid ya Watanzania na wengi wao uenda mara kwa mara kutembelea ndugu zao na wao kutembelewa,lakini fact ni kwamba originally ni watusi
 
Najua watu wakiona jina Blandina Nyoni watashtuka !
Lakini tutaendelea kumwaga ***** kuhusu huyu mama ambaye alijaa kiburi cha kimamlaka ,hongereni madkatari !
Mojawapo ya staili aliyokuwa anatumia ni kuchagua viongozi legelege ili awaburuze!
Ndichoalichofanya kwa idara ya usatwi wa jamii!
Leo sitaongelea udhaifu wa idara ile ndani ya wizara!ila ninamwongelea Kamishna msaidizi Bi JEANNE NDYETABURA ambaye ni school mate wa Blandina Nyoni na rafiki mkubwa!
MAMA huyu aliteuliwa kuwa Kamishna msaidizi wa idara ya ustawi wa jamii anayeshulikia masuala ya watoto na familia!
Bi Jeanne NDYETABURA NI MIKIMBIZI TOKA RWANDA ALIYEZALIWA RUKWA NA AMEOLEWA NA AFISA USALAMA MSTAAFU BW ,NDYETABURA!
CHA KUSIKITISHA NI KUWA HUYU MAMA AMBAYE NI MWALIMU ALIYEKIMBIA FANI AMEKWEA HADI NAFASI YA UKAMISHNA ILHALI SI MTANZANIA WA KUZALIWA,INAWEZEKANA AMECHUKUA ARAIA BAADA YA KUOLEWA NA MTANZANIA,LAKINI MATENDO NA MWENENDO WAKE YANAONESHA KABISA KUWA YEYE NI MNYWARANDA KWA SABABAU HAFANYI KAZI YOYOTE YA KUWATUMIKAA WATANZANIA BALI ANATAFUTA FEDHA!
MIMINI MDAU WA IDARA YA USTAWI WA JAMII ,NAMJAUA VIZURI SANA NA JINSI MAMA NYONI ALIVYOKUWA ANAMLEA KAMA RAFIKI YAKE!
INASIKITISHA SANA KUONA SERIKALI HAINA MECHANISM YA KUANGALIA WATU WA KUWAPA MADARAKA !
ANAYEBISHA AFANYE UCHUNGUZI HAPO WIZARANI ,HUYU MAMAM HATA LIKIZO ANAKWENDA KIGALI!
UKITAKA KUJUA KUWA KAMISHNA HUYU HAWATUMIKII WATANZANIA .....MWAKA JANA ALIDIRIKI KUMPELEKA SHORT COURSE BINTI YAKE ANAYEFANYA KAZI BARCLAY BANK KWENDA KWENYE MAFUZO YA MWEZI MMOJA KUHUSU MASUALA YA AFYA NA WATOTOWANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI INAYODHAMINIWA NA SERIKALI YA SWEDEN KWA WATAZANIA WANAOFANYA KAZI KATIKA MASUALA YA WATOTO!
HII NDIO TANZANIA HATA WANYARWANDA WANATUCHEZEA NDANI YA NCHI YETU
Sasa kama ni school mate wa Brandina inamaana huyo mkimbizi na brandina naye mkimbizi??au Brandina alisomea Rwanda??
 
acha propaganda kama kweli alizaliwa rukwa basi anatakiwa akitimiza miaka 18 akane uraia wa rwanda,sasa cha kufanya tuletee ushahid kuwa hakuwahi kuukana uraia wa rwanda!

acheni utoto kama anakula koni ya mtanzania miaka yote hiyo na bado ameifurahia unataka kuongeza list za wajane nini??mwachen aendelee kufaidi koni ya mzee wetu ingawa kwa miaka aliyonayo lazima vijana wanamsaidia kale kababu
aaaaaaaazzzzzzzaaaaaaaaaaaaaaaaammmmmmmmmmmmm ffffffffeeeeeeeemmmmmmmmmmm
 
Join Date : 17th March 2012
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received2Likes Given
 
Acha propaganda kama kweli alizaliwa Rukwa basi anatakiwa akitimiza miaka 18 akane uraia wa Rwanda,sasa cha kufanya tuletee ushahid kuwa hakuwahi kuukana uraia wa Rwanda!
We nawe hujielewi, yaani hovyo kabisa. Kama wazazi wake wote raia wa Rwanda ataukanaje Unyarwanda? Kukana Uraia wa Rwanda inabidi mmoja wa wazazi awe raia wa Tanzania wakati anazaliwa.
 
Back
Top Bottom