Jamani huyu aliyeko alieko na prezidaa ni nani????

ninavomjua baba mwanaasha tayari zamani kishatikisha nyavu huyu...binti anaona aibu anakumbuka miguno ya mwanakwetu mtoto wa msoga...hahaaaaa
 
Uyu mkuu wa mkoa DSM mbona kama analuka tope au anapiga kwata?
Uyu mdada kamatch na JK mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh,na izo anga ndugu yetu hajambo I mean anga za kupiga vazi la Taifa
 
Wamependeza! Kwa mgeni nchini anaweza kusema ni 1st lady, manake wanapita wote red carpet halafu wengine kwa pembeni.
 
Back
Top Bottom