Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
Hii ngonjera unamwambia nani?Mbona hueleweki wewe?Jibu nilichouliza hapo!

tehe tehe tehe! Eiyer ule ujumbe ni wako!

Tafadhali rejea kuusoma tena ili upate maana halafu uufanyie kazi. Ahsante!
 
Last edited by a moderator:
Maxi utapoteza wakati wako bure kupigia debe gari ambalo dereva wake amelitekeleza,amefuata gari lingine lenye uhakika.lisihitaji kupigiwa debe,gari ambalo lina uhakika kukufikisha salama safari yako.wacha kupoteza wakati,walioleta ukristo waukimbia,wewe wapiga debe,makanisa mengi ulaya yageuzwa miskiti,hayana waumini.
 
Muslims has tripled over the past 30 years. One third of all European children will be born to Muslim families by 2025
 
In England 10000 churches have been closed.By 2020 ,another 4000 churches will close,while 1700 Mosques ,many wich will rise on former churches
 
Kapime pressure, inawezekana hali ya hewa ulipo au una stress za kuhofu uchawi zaidi kiasi cha kukufanya akili yako kudhani una feel vitu ambavyo havipo.
 
Hivi watanzania tumelogwa au ndiyo laana ya kubaguana hii? Mtu ameleta mada ya kuwangiwa, anataka ushauri wa kumsaidia kujinasua watu wamehama kwenye mada na sasa wanalumbana kidini kila mmoja akiibeza imani ya mernzake!
Nauliza tena hii ni laana au wazimu?
 
Haya ndio matunda ya shule za kata,watu kama maxi,na wengine kama hawa,ndio mazao ya shule za kata,anashindwa hata kutofautisha maana ya maneno yaliyo wazi, swala na sala,ni maneno mawili tofauti,yeye aona ni moja.
 
Mngereza aliyezaliwa katika lugha ya kiingereza,anaikubali na kuilewa Quran,iliyopelekewa kwa lugha ya kiingereza na kusilimu,wewe ambaye siyo lugha yako ya kiingereza wataka upinge,utapata tabu,unapoteza mda wako Maxi,ku coppy na Kupaste.
 
Maneno yako yana choma kama msumari wa moto kwenye kidonda!
Auchhhhhh!

Taratibu mkuu Kikwajuni one utaumiza wachungaji humu ndani!. Fanya huruma kidogo.
Walete hapa maelezo ni nchi gani,au ni wapi msikiti umegeuzwa kanisa kwa hiyari ya waumini wa huo msikiti,maelezo ya hao waislamu wanaoingia ukristo yanaonesha wazi ni kwa kuteswa,kupigwa,kuuwawa,na kulazimishwa kwa nguvu,si kwa hoja wala hiyari yao.
Na Twakimu pia si sahihi,kama kila mda huo wanaingia ukristo waislam katika Afrika,basi ndani ya masaa 72,ingekuwa wa Afrika wote ni wakristo!
 
Wazi baba. Huyo MaxShimba ni mtu mdanganyifu sana! Anasema uongo toka asubuhi mpaka asubuhi!

Na kwa sababu ni muongo. Basi maneno yake yoote hayana ushahidi.
Na akionyesha ushahidi basi hakupi muda wa kujibu. Kwani ni ushahidi wa uongo na wa kubumba tu!
Lkn anapewa daawa. Hivo hivo. Siku moja huenda akaimeza hio dawa. Akapona.
 
Tatizo ni dini yakuletewa,YA MTUMBA,dini inayosemwa asili yake ni Mashariki ya Kati,lakini imetokeya ulaya,haijatokea kule ilikoanzishwa.
 
Last edited by a moderator:
Ah!ndugu zanguni Imani hizi,me naona bora mkaacha haya yote kila mtu akaamini anachoamini ktk nafsi yake,hapa nachoona huyu anamwambia huyu hivi,huyu nae anasema hivi alimradi ni majibizano..kuna ki2 kimoja hua nashindwa kuelewa,kwanini mtu anashindwa kumvumilia mtu anaeabudu kitu tofauti na anachokiabudu yy?coz kama nikupoteza nafsi yake,ni yy mwenyewe na c'yayule anaempinga!so coni haja ya mimi kuamini ktk nachokiamini then mwingine akapinga mana mwisho wangu naamini itakuwa kati yangu mimi na Mungu wangu na'c vinginevyo.japokuwa tunapeana elimu na me binafsi naona,ila tupeane tu uhuru tuache kuingiliana Kiimani.hii nikwa wote Wakristo na Waislam,ni hayo tu na nitangulize samahani kama nitamkwaza mtu.na_Log Out.

Tatizo ndugu yangu ni hawa ndugu zetu,sisi tunapomzungumzia Mungu wetu,hawa jamaa wanaanza makelele,tukiwanyamazia watazidi,angalia hata chanzo cha majibizano haya,utagundua ni wao,niliwaonya lakini nami wakanishukia,wewe unadhani itakuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom