Jamani hizi pose za Pinda huwa za ukweli au unafiki

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
01_11_gxj3m2.jpg

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitafakari jambo wakati alipotembelea moja ya chumba cha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kujionea matatizo yanayowakabili wanafunzi wa chuo hicho.
 
hizo marufuku zimeshatolewa ngapi mpaka nae aje na marufuku yake?tatizo la hii serekali utekelezaji ndio ziro.pinda alisema marufuku ya matumizi ya anasa kwenye serekali,kuhusu magari ya milioni 280.alakini hatimae akaidhinisha mabilioni yakununua hayo magari alafu chakushangaza anakataa kutumia hilo gari,mimi hainiingii akilini kabisa.tatizo lingine huyo bwana hana nguvu ya maamuzi,anaonyesha kuhuzunishwa alakini akishatoka hapo anaanza tena kuomba kwa mlacha ashughulikie tatizo,unategemea nini hapo.katiba mpya ndio tiba ya hayo yote,umeharibu hakuna haja yakuunda tume ni sheria inachukua mkondo wake.hapa kuna nchini kumeshaundwa tume lukuki alakini hakuna hatamoja utapewa ripoti yake kua ilikua hivi na vile.kenya baada yakatiba mpya kunasheria baa zinafunguliwa kuanzia saa kumina mbili mpaka tano usiku.ukikutwa muda usio rasmi uko baa ni jela wala haihitaji uchunguzi.hapa kwetu ni politics mwanzo mwisho.hana lolote huyo hilo ni pozi lake wala msijefikiri kaguswa na anayoyaona.elimu kwanza ndio kilimo kifuate,!
 
Nae keshakuwa msanii, sitegemei ukiwa na mamlaka, badala ya kutoa maagizo na baadae kufuatilia uetekelezaji unashangaa. Anashangaa nini sasa. Kwanza ajiuliza ni nani karuhusu hiyo hali itokee, aanze nae huyo kisha wengine kufuata.

Awatake radhi sasa wanafunzi waliopigwa mabomu wakiandamana
 
01_11_gxj3m2.jpg

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitafakari jambo wakati alipotembelea moja ya chumba cha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kujionea matatizo yanayowakabili wanafunzi wa chuo hicho.

Cheki mwenyewe hiyo saa ya GOLD aliyotinga hapo mkono wa kushoto! Halafu utapata jibu ya hilo pozi kama ni kweli roho inamuma kutoka k hao wanafunzi!
 
Mnafiki wa hali juu, incompetent, harmless,

Huyu amechoka, yuko bored, hapendi kazi yake..big failure..sijui muda wake utaisha lini?
 
Za kinafiki,kwa nini aliwatoroka mara ya kwanza,hayo matatizo yao ni ya muda mrefu......anayajua,ni kuchora tu watu.:lying:
 
Cheki mwenyewe hiyo saa ya GOLD aliyotinga hapo mkono wa kushoto! Halafu utapata jibu ya hilo pozi kama ni kweli roho inamuma kutoka k hao wanafunzi!
hahahaaa saa GOLD mtoto wa mkulima!! ama kweli danganya toto hazitoisha kwa wadanganyika
 
Bro umesahau alivyovunga kulia mjengoni kuhusu ile issue ya albino??! What happened? Hahahahaaa hilo pozi tulifanyie utafiti wa kiinteligensia!
 
01_11_gxj3m2.jpg

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitafakari jambo wakati alipotembelea moja ya chumba cha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kujionea matatizo yanayowakabili wanafunzi wa chuo hicho.

hanataka mapenzi hana lolote
 
01_11_gxj3m2.jpg

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitafakari jambo wakati alipotembelea moja ya chumba cha wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kujionea matatizo yanayowakabili wanafunzi wa chuo hicho.

Pinda alikwenda huko kuwahakikishia kwamba serikali inajali na inauwezo wa kutatua matatizo yao, Je hiyo ni ishara ya kutatua matatizo au kukata tamaa? The body language is for somebody who's desperate and does not have any clue whatsoever of how to solve the issues.

Back
Top Bottom