Jamani hivi kuna watu wako juu ya sheria?

Kisoma

Member
Dec 18, 2011
32
1
Habri wana JF?leo ningependa kushea na wana JF experience yangu then itakuwa topic 4 discussion.
leo jioni wakati natoka kwa mihangaiko yangu kulikuwa na bonge la foleni Tabata kuelekea Tazara.
wakati huo kulikuwa na msururu wa Lory za jeshi (Iveco)kama tano hivi.
wale wanajeshi kuona vile wana JWTZ wakahama barabara msafara mzima wakahamia upande wa kwenda Ubungo (walikeep right),kufika Buguruni Sheli wanakutana na trafic,anawarudisha wafuate sheria za barabarani wanakuwa wakali na hadi kumtishia trafiki kumgonga na kumtukana!
je kuwa mjeda kunahalalisha kuwa juu ya sheria na taratibu?
hii inarejelewa na vitendo vingi vya ukorofi wanavofanya hawa wenye dhamana ya kulinda nchi yetu.
Nawasilisha.
 
Kua mjeda kamwe si sababu ya kuvunja sheria, labda kungekua na dharura kwa mfano Vita hapo ingekua sawa, kwa kweli hiko ni kitendo cha Kutiaaibu si kwa uongozi wa juu tu{RAIS},pia kwa nchi nzima, ndo zao tumesikia mara kadhaa hata wakipiga raia.
Ni vema wazingatie sheria za nchi na kwa kufanya ivo watakua mwangaza kwa jamii na jamii itawaheshimu na kuwaamini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom