Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Mimi ni mwanafunzi nasoma Public Adminstration moja ya vyuo vikuu hapa dar, ndo naingia mwaka wa 3 namalza chuo mwakan mwezi wa sita. Ninataka nianze kuomba kazi yoyote ile itakayo tangazwa kabla sijamaliza chuo, KWA USHAURI WENU NA UZOEFU WENU mnadhani naweza kufanikiwa kupata kazi ikiwa bado nipo chuo pamoja na tatzo la ajira tulilo nalo nchini. Nategemea busara zenu kaka zangu na kina dada zangu.