Jamani hivi hii ni kweli?

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Mimi sijaoa bado lakini jambo hili linanitatiza sana sijui nyie waungwana mnalionaje. Ni hivi kuna rafiki zangu waliooa wanasema kuwa eti ili mwanaume utulie kwenye ndoa yako ni lazima kabla hujaoa uwe umeshafanya ngono na Changudoa, Shoga, visichana vya under 18, mke wa mtu mwingine n.k ili ukiingia kwenye ndoa akili yako itulie na vyote hivi visikuzuzue, hii imekaaje jamani?
 
Ukifuata ushauri kama huu..ujue umepotea moja kwa moja na utachanganyikiwa utakapoinga kwenye ndoa.Hebu tuchambue kidogo tuone madhara ya ushauri huu:
1. Changudoa - huyu ni kiumbe yuko kazini - akili,mawazo na fikra yake haipo kwako na hujizuia kabisa kutokuwa emotionally involved na wewe mtakapokuwa wawili. Ataweza kukufanyia mambo ambayo mkeo hatakufanyia kamwe.Sasa uzoefu kama huu utafanya nao nini ukishaoa? Huoni kila mara utataka urudi huko kupata ladha ambazo mkeo hatakupa?

2.Shoga - Huyu ni mwanaume mwenzio - kuanzia muonekano, haiba, feel of the body etc hafanani na mwanamke.Uzoefu kama huu huoni hauna maana yoyote kwako ukiachilia mbali kuwa ni chukizo mbele ya Mungu wako?

3.Visichana under 18 - kwanza unabaka na unaweza kuishia jela miaka 30 na kuendelea na usije kuoa kabisa. Unatafuta nini hapa? Ukibahatika kutokuiona jela, huoni wewe utakuja kuwa hatari kwa jamii hata watoto wako mwenyewe endapo utafurahia visichana vidogo? Je hiki ndicho unachokitaka?

4. Mke wa mtu mwingine - na wa kwako je akijakuonjwa na mwanaume mwenzio mwenye mtizamo kama huu utajisikiaje?
 
Mimi sijaoa bado lakini jambo hili linanitatiza sana sijui nyie waungwana mnalionaje. Ni hivi kuna rafiki zangu waliooa wanasema kuwa eti ili mwanaume utulie kwenye ndoa yako ni lazima kabla hujaoa uwe umeshafanya ngono na Changudoa, Shoga, visichana vya under 18, mke wa mtu mwingine n.k ili ukiingia kwenye ndoa akili yako itulie na vyote hivi visikuzuzue, hii imekaaje jamani?

Hawa sio marafiki wazuri kwako, marafiki gani wana mawazo mgando kama haya! achana nao hawakufai watakuharibia maisha.
 
Asanteni kwa mchango wenu, huu ni mtazamo wao tu kwamba kabla hujaamua kutulia kwenye ndoa basi ni lazima angalau uwe umeexperience aina tofauti za ngono
 
Ndugu, huu ni ushauri wa kijinga. Na kama hao jamaa wanajua kuwa angalau unazo akili za kawaida (common sense), wakikushauri hivi na wewe ukaupokea ushauri wao watakuona zumbukuku kweli kweli.
 
Kwa changudoa tunaweza sema unatafuta uzoefu kama hujapitia mahusiano kabla,under 18 anatafuta kufungwa na labda kulawitiwa huko,hilo la shoga wala usihangaike kwakuwa ukifumwa na mke wa mtu itabidi we mwenyewe upitie ushoga kabla ya kuachiwa.
 
Bwa ha ha..watu kaa hao ndo kule kwenye majukwaa mengine mnajifanya wakereketwa wa dini za kigeni..lol. Endeleeni hivohivo msiache.
 
Pumbavu kabisa!Ushauri gani huo wa kupelekana kuzimu na wakati nafasi za pepo zimeshajaa inamaana unatakiwa kulakiwa motoni!Acha kabisa si vizuri hata kidogo na kamuone mzee wa upako au kakobe akakutulize!
 
ushauri huo uliopewa ni wrong in soo many levels! duh hao nafikiri lengo lao ni moja tu....kukupoteza
 
Achana na ushauri wao, Jitunze mpaka siku ya kuoa, utamfuraia sana mke wako. Mambo mengine ni ya kizushi.
 
Kwa changudoa tunaweza sema unatafuta uzoefu kama hujapitia mahusiano kabla,under 18 anatafuta kufungwa na labda kulawitiwa huko,hilo la shoga wala usihangaike kwakuwa ukifumwa na mke wa mtu itabidi we mwenyewe upitie ushoga kabla ya kuachiwa.
hahahaaa!!
Mwache aingie kichwa kichwa, watu watakula mkia!!
 
Mimi sijaoa bado lakini jambo hili linanitatiza sana sijui nyie waungwana mnalionaje. Ni hivi kuna rafiki zangu waliooa wanasema kuwa eti ili mwanaume utulie kwenye ndoa yako ni lazima kabla hujaoa uwe umeshafanya ngono na Changudoa, Shoga, visichana vya under 18, mke wa mtu mwingine n.k ili ukiingia kwenye ndoa akili yako itulie na vyote hivi visikuzuzue, hii imekaaje jamani?

Amakweli ...AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!!!
icon4.png
 
Nakuomba uwasiliane na watu wa GUINESS WORLD BK OF RECORD huu ni ushauri adiumu sana duniani kutolewa. Hawa rafiki zako wanataka hata ukifa usifae kuzika uchomwe moto ili majivu yako yamwage baharini.
 
Back
Top Bottom