Jamani! Hivi George Galloway ni mtu wa aina gani?

George Galloway hazungumzii dini yake ila aliwahi kuwa na mke mpalestina ndiyo maana anatumia baadhi ya maneno ya kiarabu, na ni mpingaji mkubwa wa tawala za kiarabu za kifalme na mpinzani wa vita na siasa za kinafiki za nchi za Magharibi. Alishawahi pia kuwekwa kiti moto umarekani lakini walishindwa kumkuta na hatia yeyote. Alipinga Ubaguzi wa Afrika,vita ya Iraq, Libya na ya Syria.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom