Jamani hili zigo la kulia sio la afrikasana pub sinza

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,895
21,982
Ivory-Coast-strongman-Lau-007.jpg

JAMANI HILI ZIGO ALIJAOPOLEWA AFRIKA SANA PUB ANGALIA LILIVYOHAMAKI MASKINI WEEE
 
Ujanja wote mfukoni kwa gbagbo,angefanywa kama sadamu tu!!!Huyo kulia ndio mke wake huyo
 
Duh mke wake mbona hata hafananii? Huyo siyo mwandish kweli?
 
Hivi naona vibaya? naona kama mzee mzima ana ngeu jichoni na mama kichwani kama kuna damu hivi, ama alichanganyikiwa sana kiasi cha kuweka lipstick kichwani.
 
Sijakupata mkuu PDiddy..

Madaraka hufanya watu waonekane wa maana kweli. huyu mkewe Gbagbo ukimgoogle akiwa first lady yuko tofauti kabisa na sasa. kumbe ndo maana wakishindwa wanang'ang'ania ikulu!
 
sijakupata mkuu pdiddy..

mkuu ujaelewa ..uoni hilo dege la mkuu gbagbo lilivyokaa kama wanawali wetu wa afrikasana pale sinza wakisubiri vitoweo ..jitahd hata upite pite upate nyama choma mkuu ila usiguse midege ya pale mingi screpa......apea zake azipatikaan ukiiigusa..
 
Poa PDiddy,mi sikujua kuwa huyo ndo 1st lady wa Drogba,by the way nitafika mitaa ya Corner/Africasana bar baada ya mfungo.
 
Afrika nakupenda Afrika........... Kutoka Uraisi hadi kupigwa kibao na mjeshi na kushikwa mkwiju............ Kweli Africa ni moja from Capetown, to Arusha and Cairo...........
 
Orkitikit in Kiteto or? Unajua Kimana? ndo kwa Babu yangu na Napilukunya ndio kwa mama yangu!
 
Afrika nakupenda Afrika........... Kutoka Uraisi hadi kupigwa kibao na mjeshi na kushikwa mkwiju............ Kweli Africa ni moja from Capetown, to Arusha and Cairo...........

Hata kwa wenzetu yapo haya,Nicolae Caeusescu na mkewe Elena yaliwafika haya mpk wakauwawa miaka ya mwishoni ya 80' kule Romania.Ubaya hulipwa ubaya tu.
 
Hivi naona vibaya? naona kama mzee mzima ana ngeu jichoni na mama kichwani kama kuna damu hivi, ama alichanganyikiwa sana kiasi cha kuweka lipstick kichwani.

Askari mmojawapo alimzaba Gbagbo kibao usoni walipomaliza kumchomoa kwenye handaki
 
Back
Top Bottom