Jamani hili suala linanisumbua sana

NIMEKIMBIA CCM

Senior Member
Oct 4, 2011
193
26
Glory 2 god!
Heshma kwenu,magreat naomba mnieleweshe tofauti ya majukumu ya kichama na ya serikali kwa upande wa raisi
hi n kutokana vkao vya ccm vlivokuwa vnaendeshwa na jk muda ambao ilibid awe anafanya kaz za serkal
JE NI HALALI JK KUENDESHA VKAO VYA CHAMA MDA WA KAZI ZA WANANCH?
 
Ulitaka iweje kama yeye ni m/kiti na rais angefanyeje sasa? Pia elewa haina tofauti akiwa kwenye vikao au nje ya nchi na akiwa kwenye shughuli za kawaida kwani huwa hana anachofanya ni bora tu asiwepo kwani vitu huendelea kawaida. Kutokuwepo au kuwepo kwake haina tofauti ni bora akaendelea kujifanyia shughuli zake tu.
 
Mbona hata misafara yote ya wanene iliyokuwa inapita hapa kuu street kuelekea white house kwenye vikao vya chama ilikuwa inatumia magari ya serikali.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom