Jamani Hiki kitoto vipi, Ndiyo vazi gani hili?

Status
Not open for further replies.

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
12.+MASHABIKI.JPG
 
Sioni tatizo hapo. Ni mzuri na kapendeza. Sasa ukicheche umetoka wapi? Kwanza nini maana ya kicheche?
 
kapendeza.mwacheni mtoto wa watu aexperiment jamani....mnaovershadow u tineja wake.kama nyie mlivyokuwa matineja hamkuwa mcharuko mlikuwa kama makondoo kivyenu..mwacheni mtoto wa watu aenjoy maisha...nani asiyejua hiko ni kipindi cha mpito tu???she will come back to her sense someday...ila huu upuuzi acheni haumsaidiii huyu mtoto.
 
She is beautiful ila kikwapa mh mbn kyeusi ivo mtt wa kike?na kwa wanawake wenzangu wengine tuwe tunajisugua na limao kikwapa kinawakaaa!mwanamke usafii!
 
duh kweli zama hizi malezi ni tabu hali kadhalika mahusiano.

Lulu ni mdogo lakini aliyopitia yanamzidi umri (she is <18)
 
halafu hajishangai amekaaa na akina Mama waliovaaa mavazi ya heshima? Shiit
 
She is beautiful ila kikwapa mh mbn kyeusi ivo mtt wa kike?na kwa wanawake wenzangu wengine tuwe tunajisugua na limao kikwapa kinawakaaa!mwanamke usafii!
Kwapa kama goti acha kumshambulia mwanamke mwenzio unakuwa na wivu utadha kakukombea mume?!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom