Jamani hii ni kweli?

kisasangwe

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
292
52
Umezuka ubishi hapa nilipo. Wanaume walioko hapa wanasema kwamba wanawake wanaonyonyesha huwa hawana hamu ya kukutana kimwili na wanaume eti kwasababu huwa wanaponyonyesha huipata raha( hufika kileleni). Mimi nabisha lakini hawaelewi/ hawakubali ,sasa hebu na nyie wenzangu nijuzeni,

je kuna ukweli kuhusu hili?????
 
Wachawi hao, yaani wanapigishwa besheni na watoto wao?
Mama mwehu ananyonyesha ili afike kileleni, mama mwerevu ananyoshesha kwa ajili ya upendo kwa mwanawe
 
wao wanadai kitendo cha mtoto kumshika mama ziwa na kunyonya humfanya mama aamkwe na hisia. mimi nimebisha lakini wanang'ang'ana kuwa hiyo ndio sababu ya wanawake wengi wanaonyonyesha kushindwa kuwa karibu na waume zao.
na wanatetea hoja ya kuwa na mahusiano nje ya ndoa eti kwa sababu wake zao hawajisikii wakati huo
 
Kasimba .. amekupatia mahali pa kuanzia. waulize kinamama wenye watoto. majibu utakayo pata yakufanana kwa walio wengi ndiyo yatakupatia ukweli.
 
Back
Top Bottom