Jamani hii ni kwa wanawake tu!. . . . . !Imetokea kweli na huyu hajaamua la kufanya!

sitoenda kwa mganga....mganga ni Mungu peke yake, nitamwomba anitie nguvu na hekima ktk kipindi hicho kigumu, na kuyaacha yote mikononi mwake...
 
Ibilisi yuko kazini!!! Aliyeleta hii hadithi nahisi amepata msukumo toka kwa Ibilisi mwenyewe. Ushindwe na ulegee hadi kwenye vidole ili ushindwe kubonyeza key board for weeks!!!

Asante sana na ubarikiwe Mama Mdogo!
 
Hakuna cha uganga hapo bali ni WIZI MTUPU!!!! Dawa gani hiyo ya kumtibu mgonjwa (mtoto) inatakiwa itumiwe pia na Wazazi kisha Mume amlawiti mkewe!? Mwenyezi Mungu tunusuru na waganga wasanii!!!
 
kosa kubwa alilolifanya ni kwenda kwa mganga wakati mume wake hana taarifa.
Si rahisi kumshirikisha mume wake vinginevyo ndoa yake haiko salama.
siku zote hata kama nia ni njema ila njia ni mbaya matokeo huwa mabaya. Pima kiatu kabla ya kuchagua kama uko tayari kuyaona matatizo zaidi ya hilo.
 
Mama amefanya kosa kubwa kwa kutomuamini Mungu na ndio maana amepata ujasiri wa kwenda kwa sangoma......chakufanya mwambie afanye toba kwa kujutia kosa lake la kwenda huko na kumuingiza mtoto kwenye mikataba ya shetani na pia toba ya kupungukiwa na imani ....asikilize nyimbo za kuabudu ili ainue imani ie wimbo wa Sara k..Tutaishi kwa imani ...pia asome neno la Mungu kwa kutafakari kwani mara nyingi pale uwezo wa mwanadamu unapoishia ndipo Mungu huonekana.

Kutoka 23:25 "Nanyi mtamtumikia Bwana Mungu wenu naye atakibariki chakula chako na maji yako; nami nitakuondole magonjwa kati yako."

Yeremia 17:14 "Uniponye Ee Bwana nami nitaponyeka uniokoe nami nitaokoka kwa maana wewendiwe uliye sifa zangu."
 
Upo kwenye ndoa na mumeo mna ndoa yenye furaha tele na mmejaaliwa mafanikio yote!Ya kifedha na kiuhusiano!Na pia mmejaaliwa mtoto mmoja tu wa kike na anafanana sana na wewe mama yake!Bahati mbaya baada ya kujifungua mtoto huyo ukapata matatizo ya uzazazi yaliyopelekea ukaondolewa mfuko wa uzazi.Huwezi kuzaa tena. . .Tatizo linakuja mwanao anaanza kuugua sana unampeleka hosptl haponi,hali inakua mbaya zaidi na mtoto anaanza kuwa na mabakamabaka mwili mzima kama nyoka,mnapeleka kuombewa inashindikana,mnaamua kumpeleka hosptl za nje ya nchi;Nairobi,South Africa mpaka India lakini hali inakua mbaya zaidi.Mumeo ni mtu wa dini na ameokoka hataki kusikia mambo ya waganga wa kienyeji.Unaamua wewe mwenye kumpeleka mwanao kwa mganga,mganga anamkagua mwanao na anakwambia anaweza kumtibu lakini kutokana na ugonjwa wa mwanao kwa sababu ni wa kike dawa ile itamtibu mwanao kwa wewe na mwanao kuitumia kwa njia tofauti.Mwanao utamwogesha na dawa ile pamoja na kumnywesha.Wewe utaioga dawa ile lakini pia inatakiwa mumeo aipake dawa ile kwenye uume kisha akuingilie kinyume na maumbile halafu baada ya siku 3 unywe dawa ile!Ungefanyaje?Kuna mwanamke mwenzio anachangamoto hii,jaribu kumsaidia!


Kama mume na mke ni mwili mmoja, kwanini mume awe mtu wa Mungu afu we mke uwe kinyume?? huoni unazuia upako kwa mwenzio?? kwa Mungu kila linalotokea lina sababu yake, huyo mke anapaswa kuachana na maisha ya 'kiswahili' na kumfuata mumewe ili wayashinde majaribu. Wanawake wetu watnanzia mnapenda sana mambo ya waganga likitokea tatizo (ndo maana ni wateja wazuri wa waganga)... hamuwezi kupata kila kitu duniani, furahini siku zote na shukuruni kwa kila jambo.. huko alikojichovya huyo mwanamke akajisafishe kwenye nyumba za ibada,Mungu ni muweza.
 
hakuna jaribu lisilo na mlango wa kutokea no matter how long it will take nitastick kwa MUNGU wangu
Well at least that is what you think you would do. But trust me you do not know that for sure now. YOu will know for sure if you find yourself in that kind of a situation.
 
hiyo dawa hakuna duniani, kwahiyo kwanza sikubaliani na post yako
Watu mnashangaza sana, Hivi mnaleta ubishi hapa kwa kuwa hawa waganga wa kienyeji mnawajua au mnawasikia tu??!!!!!!!!!!! Acheni kabisa hawa waganga wa kienyeji wana masharti ya ajabu mno, mimi nadhani saa nyingine hata shetani mwenyewe huwa anawashangaa.
 
Baada ya kushindwa Mashart:

Mama: mganga mashart yamekua magumu, hamna jinsi nyingine ya kunisaidia?

Mganga: kakataa?, inamaana hampendi mtoto?, ngoja niongee na mizimu kama ina dawa nyingine!

Mama: nitashukuru sana.

Mganga anapiga mikwara na geresha nyiiingi eti anaongea na majini/mizimu yake

Mganga: mama nenda ukamwogeshe dawa mtoto, mabaki yafunge kwenye chupi ya mumeo, weka chini ya godoro upande wake hlf kesho njoo nayo. usimwambie mtu ulichobeba wala unakoenda

mama unajitahidi kesho unaenda kamili, umefanya hivyo.

Mganga: umefanikiwa?, vizuri sana. kaa hapo.

Anajifunga kutambaa usoni, anapiga mikwara mingi huku hakuoni, anakutaka uvue akupakie dawa kwa kutumia kidole.

unajiaminisha hakuoni utavua na atakupakia dawa kote kote!

Habari ndio hiyo!, kifuatacho.

Samahani,

Msinisute kuchungulia wanawake
hahhahahahah mkuu nimecheka hadi nimetoa machozi, wewe ni nourma.
 
Jaman mi'nikidume ila naomba nitoboe siri niliyoigundua hapa kama hii inaukwel ndan yake. Kwanza kabisa naomba niseme kuwa hapa pana jaribu kubwa kati yao, na sasa shetan kaamua kupitia huyu mwanamke ashinde kuwaangamiza, haitakua dawa kufanywa kinyume na maumbile, kama ulivyosema mume ni mwokovu na shetan ajue hapendi hvyo ndio maana mganga hakumwambia yeye mwenyewe amfanye kumtia hiyo dawa, lengo lake ni kuangusha iman waliyonayo na hatimaye kuwakana.. Nawashauri kwanza huyo mke afanye toba kisha warudi magotini huku wakifunga na kuomba pia kuomba msaada kwa watu wanaoombea matatizo ya watu, jibu watalipata
 
Hakuna cha uganga hapo bali ni WIZI MTUPU!!!! Dawa gani hiyo ya kumtibu mgonjwa (mtoto) inatakiwa itumiwe pia na Wazazi kisha Mume amlawiti mkewe!? Mwenyezi Mungu tunusuru na waganga wasanii!!!

B umeona usipokuwa na ufahamu waganga wanaweza kukugeuza dili........afadhali huyo wengine wanawaingilia wao wakisema ndio dawa itafanya kazi Eee Mungu tuepushe na dhahama hii
 
Mmmh..... Kama Mungu anataka kumchukua huyo mtoto utahangaika weeeeeeeeee mwisho wa siku anakufa! Ni bora tu kuendelea kusali na kumwachia Mungu...Mambo ya Mganga, mara mambo ya kutoa Tigo sio mpango kabisaaa...
 
aaah jman hamna k2 kbya kma kuyumba ki,iman kma waliamua kusal bac wngvmilia 2 mapito hyo lakn ktendo cha kfnya knyme na maumbile had mbngu inattemeka n dhamb kbwaaaaaa cha mcng asal 2 waganga c wakuamin
 
Ngozi ya mwanangu ina uhusiano gani na maumbile yangu? Ujue ndo maana Mungu katupa wanadamu utashi wa kujua mema na mabaya na hata kutafakari na kujua uhusiano kati ya unachofanya na unachotaka kitokea na ukiangalia hapa hakuna uhusiano wowote

wajinga ndio waliwao. Huyo mganga alishindwa kukuambia siwez akaamua akupe mashart magumu. Lakn hakuna linalomshinda Mungu wasikate tamaa azid kukaa kwenye uwepo wa Mungu b'se hachelew wala hawah.
 
Back
Top Bottom