Jamani hii ni kwa wanawake tu!. . . . . !Imetokea kweli na huyu hajaamua la kufanya!

hata kama ni kufa nife ila co kukufuru kiac hko, mtoa uzi, mwenye mamlaka ya kumpa mtu mtoto ni Mwenyezi Mungu tu. na mwenye mamlaka ya kumchukua ni yeye pia. kama wanaamini katika dini hawawez kukufuru kisa kumponya mtoto. wanaweza kukufuru then pia hyo mtoto wakamkosa. me kwa hyo dawa hapana!
 
kama mganga aweza ponya basi nenda kwa mchungaji gamanywa utapona tatizo biblia imesema ALAANIWE MFIRAJI NA ANAOENDA KWA MGANGA NA KUAGUA...KAMA AMEPANGIWA KUPONA UPONYAJI UTAPATA KWE DINI otherwise ni mipango ya mungu#hii ni kama we ni mkristo
 
we unasema masharti ya mganga?
wapo watu weengi mno wanaamua 'kuachwa wafe'
au ndugu zao wanaamua basi acha afe
sababu ya kushindwa tu 'kutangaza msaada wa pesa'
wachangiwe apelekwe nje....

na huyo ni mganga au mchawi?

Huyo ni mchawi tu.........mbona kuna tiba nyingine mbadala hazina masharti ya ajabu hivyo?

Tena usije kushangaa kenyewe ndo kanafanya makaratee.....alafu kanaruka nae badala ya mumewe!!! lil
 
Imani yangu iko kwa Mungu tu na si uganga. So ningemshukuru Mungu tu na kumwöa atende apendavyo.
 
SIJATAMKA KWA MAANA KAMA HIYO UNAYOELEWA WEWE. mimi nilikuwa nataka nimwonyeshe rose kuwa kuna watu wanapita so mtu akitoa la kwake asikimbilie kulikataa la litafakari zaid. Yaelekea wewe hujayajua maisha dogo siku ukiyajua basi hutakuwa mtu asiyejua kufikir kama wewe.

Time will tell!Ngoja watakaokuja kuwakuta watajua wenyewe!
 
kweli hii ni changamoto akya nani daah, ningekuwa mm hata sijui ingekuwaje
 
Baada ya kushindwa Mashart:

Mama: mganga mashart yamekua magumu, hamna jinsi nyingine ya kunisaidia?

Mganga: kakataa?, inamaana hampendi mtoto?, ngoja niongee na mizimu kama ina dawa nyingine!

Mama: nitashukuru sana.

Mganga anapiga mikwara na geresha nyiiingi eti anaongea na majini/mizimu yake

Mganga: mama nenda ukamwogeshe dawa mtoto, mabaki yafunge kwenye chupi ya mumeo, weka chini ya godoro upande wake hlf kesho njoo nayo. usimwambie mtu ulichobeba wala unakoenda

mama unajitahidi kesho unaenda kamili, umefanya hivyo.

Mganga: umefanikiwa?, vizuri sana. kaa hapo.

Anajifunga kutambaa usoni, anapiga mikwara mingi huku hakuoni, anakutaka uvue akupakie dawa kwa kutumia kidole.

unajiaminisha hakuoni utavua na atakupakia dawa kote kote!

Habari ndio hiyo!, kifuatacho.

Samahani,

Msinisute kuchungulia wanawake
 
Ningefanya yote hayo ila hiyo ya kinyume na maumbile kubwa kulikoo...
 
Upo kwenye ndoa na mumeo mna ndoa yenye furaha tele na mmejaaliwa mafanikio yote!Ya kifedha na kiuhusiano!Na pia mmejaaliwa mtoto mmoja tu wa kike na anafanana sana na wewe mama yake!Bahati mbaya baada ya kujifungua mtoto huyo ukapata matatizo ya uzazazi yaliyopelekea ukaondolewa mfuko wa uzazi.Huwezi kuzaa tena. . .Tatizo linakuja mwanao anaanza kuugua sana unampeleka hosptl haponi,hali inakua mbaya zaidi na mtoto anaanza kuwa na mabakamabaka mwili mzima kama nyoka,mnapeleka kuombewa inashindikana,mnaamua kumpeleka hosptl za nje ya nchi;Nairobi,South Africa mpaka India lakini hali inakua mbaya zaidi.Mumeo ni mtu wa dini na ameokoka hataki kusikia mambo ya waganga wa kienyeji.Unaamua wewe mwenye kumpeleka mwanao kwa mganga,mganga anamkagua mwanao na anakwambia anaweza kumtibu lakini kutokana na ugonjwa wa mwanao kwa sababu ni wa kike dawa ile itamtibu mwanao kwa wewe na mwanao kuitumia kwa njia tofauti.Mwanao utamwogesha na dawa ile pamoja na kumnywesha.Wewe utaioga dawa ile lakini pia inatakiwa mumeo aipake dawa ile kwenye uume kisha akuingilie kinyume na maumbile halafu baada ya siku 3 unywe dawa ile!Ungefanyaje?Kuna mwanamke mwenzio anachangamoto hii,jaribu kumsaidia!

duh! satarn at work! Aachane na mganga amrudie Mungu kwani kwake yote yanawezekana.
 
Dada samahani sana naomba kutengua sheria iliyopo ya hii thread kuchangiwa na wanawake tu, naomba niruhusiwe kuchangia mimi ni kidume. Nina imani ombi hili limekubaliwa.... Kuna mchangiaji mmoja hapo juu anaitwa ''tutafika'' ameandika kitu ambacho ndicho kitaenda kutokea kwa huyo ambaye mtoto wake anaumwa. Ni kweli matatizo yanapotokea mtu huwa na options nyingi sana ili mradi tu apate msaada wa kutatua shida zake, lakini hiyo isiwe hoja ya kukipa kichwa likizo na kufanya yale yasiyompendeza Mungu au yale ambayo ni kinyume na maadili yanayokubalika kwenye jamii zetu. Itakuwaje kama akikubali kuliwa tigo mara kadhaa kutokana na masharti ya hiyo dawa halafu mtoto asipone?, kamchezo kakimnogea ataendeleza by any means. Umesema pia kuwa huyo mwanamke hana uwezo wa kupata tena mtoto, hii isiwe ndio kisingizio cha kumpelekea kuliwa tigo maana wanawake wengi huogopa kwamba akiliwa tigo atapata shida wakati wa kuzaa. Huyu asijidanganye kuwa kwaajili hatozaa tena ndo afanyiwe huo mchezo mchafu, amwombe Mungu kwa moyo wake wote yeye ndio jibu la kila tatizo na hata mtoto asipopona bado Mungu ataendelea kuwa tegemeo letu binadamu kwa kila jambo. Binafsi mwaka jana nilipatwa na mtihani wa kufiwa na mchumba wangu ambaye mwaka huu tulipanga kuoana. Aliumwa sana na kila akipelekwa hospital kwaajili ya matibabu wanasema haumwi kitu, vipimo vyote alivyochukuliwa pamoja na kile cha HIV havionyeshi kuwa anaumwa. Watu wakashauri apelekwe kwa Mganga lakini wazazi wake, ndugu pamoja na watu wengine hatukuunga mkono hilo suala na tukaendelea kumwamini Mungu kuwa kama ana nia ya kumponya atamponya tu na kama ataamua kumchukua atamchukua kwa utukufu wake, mwishowe alifariki na hatukuwa na jinsi tulikubali kilichotokea na maisha yanaendelea japokuwa tuna makovu mioyoni kwa kuondokewa nae . Ushauri wangu ni kwamba asikubali kutoa tigo kwa mganga wala kwa mumewe pia ajiandae kutafuta watu wa kusuluhisha ndoa yake kuvunjika pale atakapoamua kumweleza huyo mumewe habari za tigo na mganga.
 
Ibilisi yuko kazini!!! Aliyeleta hii hadithi nahisi amepata msukumo toka kwa Ibilisi mwenyewe. Ushindwe na ulegee hadi kwenye vidole ili ushindwe kubonyeza key board for weeks!!!
 
Back
Top Bottom