jamani hii ni halali kweli??

zimwimtu

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
1,988
1,095
Its this my machine operator, anaishi na mwanamke mitaa ya mabibo na wana motto mmoja. (hawajafunga ndoa) jamaa kajitahidi kapata kiwanja CHANIKA. Na kajenga kibanda chake sasa anataka kuhamia ili kupunguza ukali wa maisha, maana kodi za nyumba nazo zinakera.

Mke wake kakataa kwenda chanika kwamba hayuko tayari kuishi porini na kama aking’ang’nia kwenda kuishi huko ndo utakuwa mwisho wao, kila mtu ajue maisha yake. Na wakati anajenga huyo mke wake alikuwa na taarifa na alishafika kuona maendeleo ya nyumba.

Bas jamaa kachanganyikiwa hajui afanye nini. Mke anampenda na amejaribu kuongea nae sana lakini hamuelewi.

Sasa niwaulize wadada, hivi upo tayari kumtosa mpenz wako kisa kaenda kuishi mbali na mji? Ya nni kubaguana kwa sababu ya makazi?

Maoni yenu plz…
 
Hela nitafute mimi halafu mwanamke aje anipangie masharti yake, thubutu yake ingekuwa mimi angeshanisahau siku nyingi....
 
Mambo mengine sio ya kulazimisha sana, kama amekataa kuhama waweke makubaliano; mwanaume awe mpole na amweleze mkewe kwa upole kua sasa yeye hana uwezo wa kulipa kodi anymore, hivo yeye huyo dada alipe hio kodi na mwanaume ajitoe... Yaweza saidia kumumrudisha katika mstari dada....
 
mbna mademu wanaojiheshmu tna wko tayar kuish popote wapo wng 2...achukue mtoto wake then tupa kule huyo mwanamke..
 
huenda demu ana kibuzi chake hapo jirani kinachomshughulisha so hataki kukaa mbali nacho teh teh teh... kama vipi aanze zake huko kijijini tu, huyo demu asipomfuata basi ajue si ridhiki
 
swali kwa mtoa mada
1.Huyo mwenzako anafanya shughuli gani na wapi?
2.kama ulimshirilisha kuhusu ujenzi na akaafiki,kwa nini amekugeuka?
 
swali kwa mtoa mada
1.Huyo mwenzako anafanya shughuli gani na wapi?
2.kama ulimshirilisha kuhusu ujenzi na akaafiki,kwa nini amekugeuka?
hana kazi, alimshirikisha sana na ndo maana alikwenda kuona maendeleo ya mjengo. inawezekana kuna mtu anamtia kiburi.
 
huenda demu ana kibuzi chake hapo jirani kinachomshughulisha so hataki kukaa mbali nacho teh teh teh... kama vipi aanze zake huko kijijini tu, huyo demu asipomfuata basi ajue si ridhiki
possible, coz kuna tetesi kuwa anatoka na sales man mmoja hapa kazini.
 
Duh! Kama ameshirikishwa kwenye ujenzi iweje agome. Mwambie jamaa safari hii asilipe kodi hadi mwenye nyumba awatimue ila pia aangalie sababu zinazomfanya mkewe agome.
 
Awaulize kwa nini wale watu wa jangwani, pamoja na kupewa viwanja bure bado hawataki kuhamia huko mabwepande.....? (jangwani kuna maslahi) huyo bibie anamaslahi na hapo, mkeo halisi yeye ndo angekuwa wa kwanza kutafuta gari la kuwahamisha. wengine tulikuta nyumba iko tupukisha beba kila kitu kakuachia maagizo kwa baba mwenye nyumba, ( AKIRUDI MWAMBIE NIMEKWENDA KWANGU KAMA YEYE BADO ANAHITAJI KUPANGA AOE MKE MWINGINE)--- tafuta usafiri beba vyombo kama ni mkeo atakufuata.
 
Mambo mengine sio ya kulazimisha sana, kama amekataa kuhama waweke makubaliano; mwanaume awe mpole na amweleze mkewe kwa upole kua sasa yeye hana uwezo wa kulipa kodi anymore, hivo yeye huyo dada alipe hio kodi na mwanaume ajitoe... Yaweza saidia kumumrudisha katika mstari dada....
hii ndio saizi yake huyo mama mpenda kukaai vibarazani kusogoa badala akalime mihogo na kufuga kuku huko shamba anahisi atakuwa mbali na kiserengeti chake na mashostito
 
mkuu uyo binti kibaka wa town. chanika wala si polini mi nimefanya kazi kote uko nime pita, so kama ataki piga chini faster usikawiye mkuu. mkuu maisha sasa simchezo yeye ana pata life analeta mchezo, kabaya zaidi ni 'GOLIKIPA'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom