Jamani hii kitu ni kweli

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
wakuu jana nilikwenda wapo mission wana kifaa cha kupima afya mwili mzima kwa sekunde 56 na kinakupa majibu yote nakama unaflash disk wanakuwekea majibu yako na pia wanamtambo wakutoa sumu mwilini hapo ndio waliniacha hoi kidogo wanakufunga belt kiunoni na mkanda mkononi kisha wanatumbukiza kiplastiki kmoja kwenye maji unatumbukiza miguu baada ya mda maji yanaanza kubadilika yanakuwa machafu kabisa ila kwenye vipimo niliweza kubaini ukweli fulani kwani nilitoka kupima full blood picture pale aar so nimewakubali
 
Ndugu hata mimi nilikutana na vipimo hivyo wanavyo vya aina mbili lakini vyote vimekuwa computalized. kipimo cha kwanza wanakuchomachoma kwenye viganja siyo kuchoma mpaka damu itoke ila wanakuwa wanagusa viganjani computa inaonyesha kama tumboni kunamatatizo au kichwani au lolote. wanapima magonjwa yasiyohitaji damu. magonjwa kama vile ukimwi, malaria na mengineyo yanayohitaji damu hawapimi.
pili wanapima kutumia kifaa ambacho inakishika kama umeshikilia fimbo baada ya dakika kadhaa unafunguliwa kurasa kibao ambazo wanaweza kukupa kwenye flash au kukuprintia kama siyo nyingi sana.

mkuu kwa upande wa vipimo mimi na dada yangu tumewakubali. Ila kwa upande wa kutoa sumu wao wanaita detoxification hiyo hata mie na dada yangu tulitoa lakini sijajua kama ni kweli au la lakini tulipotoka tulijiona wepesi, usingizi mwingi zaidi na mengine machache. hivyo ndivyo nilivyoshuhudia.
 
Ni hospitali gani hiyo?
 
Tupeni habari zaidi wadau, mtuelekeze ilipo. Mimi binafsi nadhani huu mwili umezidiwa na sumu za vyakula, pombe na pollution ya dar. Aisee ukombozi umekuja.!!
 
Hayo machache ni yepi? teh teh!
 
Na mkianza ugua kansa msishangae :twitch::twitch: nyie kimbilieni kila kitu kigeni mnajua side effects zake??
 
binamu binamu hiki k2 sio kigeni ata hosp nyingi wanazo hapa na imedhibitishwa kimataifa alafu binamu mbona vingi sana vyenye sideeffects tunameza,tunakula, tunapakwa nk
 
Hayo machache ni yepi? teh teh!

uzito kupungua wengi wamesema mengi baada ya kutolewa kasoro mm ckuona change cjajua ni maumivu nilokuwa nayo ngoja nimalze dozi then nitarudi tena
 
Tupeni habari zaidi wadau, mtuelekeze ilipo. Mimi binafsi nadhani huu mwili umezidiwa na sumu za vyakula, pombe na pollution ya dar. Aisee ukombozi umekuja.!!

yani itakuonyesha kila k2 na source yake ni nn wapo kuracni chuo cha polic palepale wapo radio ukienda nenda flash yako weka majibu yako tafuta dr wako nae akusomee au kapime tena walichokwambia yan mpaka moyo vidonda vya tumbo, presha, sukari na wenye tatizo la kuzaa inaonyesha mfumo mzima wa uzazi kama mijira imeziba inakuonyesha
 
sio hosp mkuu ni kama kituo wapo pale kurasini ukishapimwa wanadawa zao sio zakemikali

basi tupe jina la hicho kituo na gharama zake pia......drphone unaturusha stimu sana wenzio.....unatupa details kwa uchoyo mno..
 
hizo taarifa zitakuwa zimetusaidia zaidi

bei kucheki afya ni sh 30000 na kutoa sumu 20000 dawa zinatofautiana bei kulingana na tatizo ila za awali ni hizo na wanangangania utoe na sumu ila ukikataa awakulazimishi
 
basi tupe jina la hicho kituo na gharama zake pia......drphone unaturusha stimu sana wenzio.....unatupa details kwa uchoyo mno..

nisamehe binamu na2mia cm nashindwa kuona msg zote kupima afya sh. 30000 na kutoa sumu 20000 wapo pale kuracni chuo cha polic wapo kwenye ofic za wapo radio na hii k2 ipo chini ya wapo mission iliyopo chini ya askofu gamanywa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom