Jamani, hii hali mnaizungumziaje?

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
10,513
10,404
Jamani, mi ni mgeni kabisa hapa JF. Ila tangu niingie, nimekuwa nasoma zaidi kona hii ya MMU. Na ktk somasoma yangu nikagundua kuna hili hali mi nashindwa kuielewa kabisa ingawa inatokea mara kwa mara ktk mahusiano/ndoa zetu.Utakuta mpenzi au mwanandoa akishajua mwenzake anatoka nje, eti na yeye anaanza kutoka! Sasa hii ni kukomeshana?, ni kumfunza aliyeanza kutoka? au mnaielezeaje jamani? Samahani kama mada hii mlishaiongelea huko nyuma, sikuweza kuipata ktk pekua pekua yangu.
 
Hiyo ni hali ya kuendelea kukimbia utatuzi wa tatizo. Kwa watu wenye busara, suala la mtu kumwaga mboaga na yeye kumwaga ugali ni ukosefu wa busara. La muhimu nikuchunguza sababu ya mwnzako kutoka nje, ili upate ufumbuzi wa tatizo hilo ili msije mkaangamia!
 
Jamani, mi ni mgeni kabisa hapa JF. Ila tangu niingie, nimekuwa nasoma zaidi kona hii ya MMU. Na ktk somasoma yangu nikagundua kuna hili hali mi nashindwa kuielewa kabisa ingawa inatokea mara kwa mara ktk mahusiano/ndoa zetu.Utakuta mpenzi au mwanandoa akishajua mwenzake anatoka nje, eti na yeye anaanza kutoka! Sasa hii ni kukomeshana?, ni kumfunza aliyeanza kutoka? au mnaielezeaje jamani? Samahani kama mada hii mlishaiongelea huko nyuma, sikuweza kuipata ktk pekua pekua yangu.
Umeshapitia reception kwanza?
 
huyo anaeenda nje baada ya mwenzie kumsaliti ujue kapata pa kuonyesha uhodari wake na alikuwa anatafuta sababu tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom