Jamani hii dawa ni kweli au vituko vya madenti?

hao wanaodhani unapotosha wamependa kufikiri hivyo. Ni watoto wengi tu hufanya abortion wakiwa mashule na mara nyingine bila wazazi kujua. Kwa njia mbalimbali salama na zisizo salama.

Kama hiyo unayosikia hapo chai, so many have used that method. Inasaidia au haisaidii sina uhakika kwani wengi wanaotumia hizi natural methods huogopa hata kupima so wakijihisi tu kama wana mimba huanza kubwia machai.

Plus hizi njia za abortion hazitumiki na watoto tu hata watu wazima, nikipata muda nitawatumia source ya study iliyofanyika kuhusu hili. Tena sio kwa wanawake wa kiafrika ni wa kizungu, this means hata ulaya mambo haya yapo

thanks mimi -soso kumbe haya mambo yapo hata ulaya mweh leo FL kuyaweka hapo amekuwa mpotoshaji wa jamii
ehehheee

naombeni kura zenu :)
 
Hakuna mimba inayojulikana wiki ya pili. Either hivyo vitoto vinawish vipate mimba or hii ni fiction.

Conception peke yake inaweza kuchukua wiki nzima toka siku ya action, sasa huyu mtoto asiyejua kitu atajuaje haya mambo ambayo hata kina mama waliokuwa na uzoefu wengine wanafikia mwezi au zaidi bila kujua?
watoto!? angejua kujigijigi mpaka apate mimba na anajua njia za kuzichomoa.. Mimba unaweza kuhisi tangu siku ya kwanza...
 
Kuna kadenti kamoja naona kamekamata Ujauzito kakiwa kidato cha tatu ..
Nimevisikia ktk pita pita zangu saloon vinasema eti kamoja kamenasa mimba ina week moja au mbili ,,
Mwenzao sijui ni konkodi wa abotion amekaambia kenzie kafanye haya yafuatayo ili kaweze kuendelea na masomo yake
1. Kunywa majivu - pregnant itago- away
2. Chemsha Chai ya majani chungu unywe -preg itagoo away
3. sijui fanya nini

haya ma DR wa JF hizi dawa za wanafunzi zina ukweli wowote ama ???

Je ulipowasikia huuchukua hatua yeyote kuwashauri? Maana nahisi wewe kama dada yao lazima una la ziada la kuwaelimisha hata kuwakemea katika masuala kama haya
 
Kuna kadenti kamoja naona kamekamata Ujauzito kakiwa kidato cha tatu ..
Nimevisikia ktk pita pita zangu saloon vinasema eti kamoja kamenasa mimba ina week moja au mbili ,,
Mwenzao sijui ni konkodi wa abotion amekaambia kenzie kafanye haya yafuatayo ili kaweze kuendelea na masomo yake
1. Kunywa majivu - pregnant itago- away
2. Chemsha Chai ya majani chungu unywe -preg itagoo away
3. sijui fanya nini

haya ma DR wa JF hizi dawa za wanafunzi zina ukweli wowote ama ???

pregnant itago-away ndo nini?
 
njia rahisi ni kutumia chuma......unsokomeza chuma , uanakawinda kale ka Zygote, unakaminya kana filia mbali. Halafu na wewe unakufa kwa tetenasi ya hilo chuma.hapo sasa......
 
njia rahisi ni kutumia chuma......unsokomeza chuma , uanakawinda kale ka Zygote, unakaminya kana filia mbali. Halafu na wewe unakufa kwa tetenasi ya hilo chuma.hapo sasa......
Duh kweli sasa ushauri umeingiliwa, maana....:confused:
 
thanks mimi -soso kumbe haya mambo yapo hata ulaya mweh leo FL kuyaweka hapo amekuwa mpotoshaji wa jamii
ehehheee

naombeni kura zenu :)

Firstlady huku jamvini kuna watu huwa ni lazima waongee hata kama hawana cha kuonge, hatuwezi kuwalaumu though kwani midomo ni mali yao na wala hawailipii kodi. kwani wangekuwa wanalipia kodi wangeongea kidogo kupunguza malipo ya kodi hizo.

Yaani nimesoma mara nyingi tu watu wanabisha facts tena kwa nguvu na lugha za ajabu
 
Back
Top Bottom