Jamani hii dawa ni kweli au vituko vya madenti?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
haya ma DR wa JF hizi dawa za wanafunzi zina ukweli wowote ama ???

:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Kuna kadenti kamoja naona kamekamata Ujauzito kakiwa kidato cha tatu ..
Nimevisikia ktk pita pita zangu saloon vinasema eti kamoja kamenasa mimba ina week moja au mbili ,,
Mwenzao sijui ni konkodi wa abotion amekaambia kenzie kafanye haya yafuatayo ili kaweze kuendelea na masomo yake
1. Kunywa majivu - pregnant itago- away
2. Chemsha Chai ya majani chungu unywe -preg itagoo away
3. sijui fanya nini

haya ma DR wa JF hizi dawa za wanafunzi zina ukweli wowote ama ???

deleted
 
hizo natural ways ni very risky kwani hakuna iliyothibitishwa, plus haziko accurate unaweza ukazaa mtoto mwenye kilema tu.

The best thing ni kuacha kufanya mapenzi wakishindwa wafanye yaliyo salama.
 
shubiri achanganye na majani ya mlangi langi anwe kila saa kikombe kimoja cha chai kwa siku tatu .
 
mmh first lady !!!, me nadhani unge kabana hako kadent kathibitishe. hapa waungwana wasije dhani ni wewe ndo unataka kutest hizo vitu na si kujua kwa maana ya kupata knowledge. ila kwa ufahamu wangu hizo njia ni traditional zaidi sasa huenda zinafanya kazi lakini namna zinavyofanya kazi sijui. pili risk inaweza kuwa ni kubwa zaidi juu ya usalama wa mtumiaji ki-mwili. japo kiroho njia yoyote ile inayohusu hili jambo ni mbaya
 
Kuna kadenti kamoja naona kamekamata Ujauzito kakiwa kidato cha tatu ..
Nimevisikia ktk pita pita zangu saloon vinasema eti kamoja kamenasa mimba ina week moja au mbili ,,
Mwenzao sijui ni konkodi wa abotion amekaambia kenzie kafanye haya yafuatayo ili kaweze kuendelea na masomo yake
1. Kunywa majivu - pregnant itago- away
2. Chemsha Chai ya majani chungu unywe -preg itagoo away
3. sijui fanya nini

haya ma DR wa JF hizi dawa za wanafunzi zina ukweli wowote ama ???

Hizo Dawa 1. Kunywa majivu - pregnant itago- away
2. Chemsha Chai ya majani chungu unywe -preg itagoo away Hazifai na hilo litakuwa tendo la kuuwa mimi mwenyewe Dada wa pacha yangu mwaka 1991 alikwenda kujaribu kuitowa mimba bila ya kumwambia Mtu wakati ana mtoto wa mwaka alikwenda kwa doctor kule hospitali ya Mwananyama na huyo doctor hakumtowa hiyo mimba vizuri alimpasuwaa ufuko wa uzazi huyo mshenzi Doctor aliifanya hiyo kazi siku ya jumatano ilikuwa january 1991 huyo Dada yangu Mapacha na mimi akaficha siku hiyo jumatano mpaka jumamosi ndio aliposema kuwa ametowa Mimba ya meizi 3 tukampeleka hospital Ag khan akapewa dawa na kurudi tena nyumbani jumapili usiku alipozidiwa tukampeleka Tena akalazwa Ag Khan doctor wa hiyo hospitali ya Ag Khan akasema kwanini tumemchelesha mgonjwa?atajitahidi lakini uwezekano wa kupona utakuwa ni mdogo sana kwa sababu Dada yangu alikuwa amevimba mwili mzima kutokana na maji yake ya mwili kuenea katika mwili wake jumatatu saa saba mchana akafariki kwa hiyo nakushauri First Lsdy ikiwa ni wewe usijaribu kuitowa mimba au hao marafiki zako wasifanye huo mchezo wa kuitowa mimba si jambo zuri ni dhambi kubwa kwa Mungu waambie waache huo mchezo wa kutowa mimba kwanini walifanya mapenzi sasa wamesahau mwisho wa mapenzi ni kupata mimba? wasijaribu hata siku moja ushauri wangu ni huo asante.
 
duh lakini hawakujua kuwa hayo ndio matunda ya mapenzi wakiwa shule au hata wasio shule? aache sasa alee
 
Mtoa mada sijui amekusudia nini, lakini naona anataka kupotosha Umma, haya ni maoni yangu, I have nothing against her. Lakini japo kua imechangia kitu kikubwa ambacho labda wengi hamjaki-notice, ni Post ya MziziMkavu, hii ni lesson that every one of us should learn and teach our children and our sisters, and please be fair enough to them and try to use the slogan of "DOING A MISTAKE IS NOT A MISTAKE BUT ADDING A MISTAKE TO A MISTAKE IS FATAL" NOW PLEASE LET'S NOT SUPPORT THE IDEA OF ABOTION AS IT I-A BIG SIN IN EVERY GREAT RELIGIONS.
 
mmh first lady !!!, me nadhani unge kabana hako kadent kathibitishe. hapa waungwana wasije dhani ni wewe ndo unataka kutest hizo vitu na si kujua kwa maana ya kupata knowledge. ila kwa ufahamu wangu hizo njia ni traditional zaidi sasa huenda zinafanya kazi lakini namna zinavyofanya kazi sijui. pili risk inaweza kuwa ni kubwa zaidi juu ya usalama wa mtumiaji ki-mwili. japo kiroho njia yoyote ile inayohusu hili jambo ni mbaya

mpendwa katika bwana ..incase nimepata mimba ambayo sijapanga nitaenda hospital na kufanya abotion iliyokuwa sahihi na ya kitaaalam na salama .( nachukia abotion ) mimi sio mwanafunzi ni mama wa familia ..swala langu la uzazi ni makubaliano yangu na mme wango so sidhani kama mme wangu atashindwa kunigharimikia

hii kitu nimeikuta saloon nilishangaa na nikaileta hapa kuuliza
sorry kama umeni-quote wrongly
FL
 
Hiyo ya Majani ya chai nimeisikia sana watu wanaitumia lakini kwa mimba changa.
 
Mtoa mada sijui amekusudia nini, lakini naona anataka kupotosha Umma, haya ni maoni yangu, I have nothing against her. Lakini japo kua imechangia kitu kikubwa ambacho labda wengi hamjaki-notice, ni Post ya MziziMkavu, hii ni lesson that every one of us should learn and teach our children and our sisters, and please be fair enough to them and try to use the slogan of "DOING A MISTAKE IS NOT A MISTAKE BUT ADDING A MISTAKE TO A MISTAKE IS FATAL" NOW PLEASE LET'S NOT SUPPORT THE IDEA OF ABOTION AS IT I-A BIG SIN IN EVERY GREAT RELIGIONS.
mpendwa labda nimekosea kuiweka mada katika mtililiko unaofaa

Mod kama hii mada inapotosha jamii naomba uinyofoe hapa barazani ingawa mie sidhani
 
Hakuna mimba inayojulikana wiki ya pili. Either hivyo vitoto vinawish vipate mimba or hii ni fiction.

Conception peke yake inaweza kuchukua wiki nzima toka siku ya action, sasa huyu mtoto asiyejua kitu atajuaje haya mambo ambayo hata kina mama waliokuwa na uzoefu wengine wanafikia mwezi au zaidi bila kujua?
 
haya jamani naomba kufunga mada hii msiendelee kupost maana kuna wengine mmeitafisiri mnavyojua nyinyi na roho zenu na bahati mbaya hivo vitoto ningevifata tena lakini nimevikuta saloon kila mtu akabakia kushangaa vitoto vya miaka hii vimeshindikana
heheheheh
Ni mimi DR wenu FL
naomba kura zenu:)
 
hao wanaodhani unapotosha wamependa kufikiri hivyo. Ni watoto wengi tu hufanya abortion wakiwa mashule na mara nyingine bila wazazi kujua. Kwa njia mbalimbali salama na zisizo salama.

Kama hiyo unayosikia hapo chai, so many have used that method. Inasaidia au haisaidii sina uhakika kwani wengi wanaotumia hizi natural methods huogopa hata kupima so wakijihisi tu kama wana mimba huanza kubwia machai.

Plus hizi njia za abortion hazitumiki na watoto tu hata watu wazima, nikipata muda nitawatumia source ya study iliyofanyika kuhusu hili. Tena sio kwa wanawake wa kiafrika ni wa kizungu, this means hata ulaya mambo haya yapo
 
Back
Top Bottom